Je, ni salama kutuma michango kwa Tundu Lissu kupitia akaunti ya CRDB? Nahisi wenye mamlaka toka juu wanaweza wakaifrizi

Nashukuru Kwa kuwa mwelewa.Nilitaka ujibu halafu nikujibu zaidi. I don't care,nimetoka ban juzi tu.

"Waacheni wafu wawazike wafu wenzao" Wewe endelea kuishi Kwa raha, amani,starehe na furaha tele.Kwani hautakuja pata tatizo wala vikwazo ktk family yako.Tena ukiwa ktk utawala huu wa neema tele kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu za asubuhi !
Wadau mimi binafsi ninaona ipo possibility kubwa ya kuja kuifreez account ya kumchangia Tundu Lissu kwa maagizo kutoka juu ! Je mnadhani hilo linawezakana kufanyika? Nini kifanyike kwasasa ? Ikitokea hivyo hatua gani zichukuliwe kwa aliye athirika na maagizo hayo toka juu? Karibuni kwa mawazo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ku freeze hawatoweza, labda watasema ikatwe kodi hii michango
 
Nashukuru Kwa kuwa mwelewa.Nilitaka ujibu halafu nikujibu zaidi. I don't care,nimetoka ban juzi tu.

"Waacheni wafu wawazike wafu wenzao" Wewe endelea kuishi Kwa raha, amani,starehe na furaha tele.Kwani hautakuja pata tatizo wala vikwazo ktk family yako.Tena ukiwa ktk utawala huu wa neema tele kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baelezee baelewe.mi mwenyewe nlitaka kumpa vipande vyake,ila nimeridhika na majibu uliyompa huyo ajizi nuksani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom