Nenda pale Kigamboni ukaangalie kivuko kinasimamaje. Huwa yule Nahodha anashusha lile limlango likijiburuza kwenye ile sakafu ndio kivuko kinasimama... Otherwise lilelile propeller na drag force ya maji ndizo zinatumika kama breki za kivuko...
Majibu yako yako chini hapo. Nahodha akitaka kusimama anabadili uelekeo wa yale mapanga. Mfano kama kwenda mbele ni clock wise akitaka kusimama anayapeleka anti clockwise kama vile yanarudisha meli nyuma. Ufundi uko kwenye ku balance.