Je mchakato wa kumpata mgombea Urais wa CCM ukoje?

Je mchakato wa kumpata mgombea Urais wa CCM ukoje?

Muda wa kuchukua form za wagombea Urais,je kama bado hatuna mgombea Urais wa CCM ,nani atapeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi mkuu wa Rais!?
 
Samia alichukua fomu lini, akatafuta wadhamini lini, alijadiliwa lini kwenye kikao cha maadili, na chombo gani kilipeleka jina lake mkutano mkuu wa CCM Taifa?.

Uongozi wa juu wa nchi hauwezi kutafutwa kimagumashimagumashi.
Magumashi huzaa magumashi.
 
Kwenye mkutano uliompendekeza,Kibajaji aliposema atoke nje Ili wajumbe wapige kura,kwa nini Samia alikataa?
 

Attachments

  • VID-20250719-WA0400.mp4
    24.6 MB
Back
Top Bottom