Je, Mbowe kurioti kwa kamanda Sirro leo?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,099
164,471
Nimekatiza hapo ufipa na kuwasikia vijana wawili wakisema wanamsubiri Mwenyekiti wamsindikize kituoni.Nikahisi tu labda mwenyekiti huyo ni wa taifa na ameamua kujisalimisha, tusubiri muda utaongea.
 
KAMA AMEAPEWA BARUA YA WITO ATATII SHERIA.. lakini kama hakuna hiyo kitu haendi NG'OOOOOOO hata uburuze kwa buludoza
 
Nimekatiza hapo ufipa na kuwasikia vijana wawili wakisema wanamsubiri Mwenyekiti wamsindikize kituoni.Nikahisi tu labda mwenyekiti huyo ni wa taifa na ameamua kujisalimisha, tusubiri muda utaongea.

Kesi ipo mahakamani.
 
Mbowe ni mwoga sana na ataenda huku analia
Tena mwoga sana hata maandamano akiitisha yeye huwa anasepa anatokomea kusikojulikana.ANAWAACHIA wengine wale virungu vya polisi.yakimalizika ndio huchoimoza bna kutoa matamko ya kuzuga ya hapa na pale kulaani wakati wenzie wanavuja damu za virungu.
 
Nimekatiza hapo ufipa na kuwasikia vijana wawili wakisema wanamsubiri Mwenyekiti wamsindikize kituoni.Nikahisi tu labda mwenyekiti huyo ni wa taifa na ameamua kujisalimisha, tusubiri muda utaongea.
Itakuwa kafanya la maana sana kama kaenda kuripoti maana kule chini tangu ijumaa hakujadekiwa
 
Kurioti.. TUNAPOZUNGUMZIA ELIMU BURE UNAELEWA NINI? Ni kutandika kitanda ulicholalia, ELIMU BURE? Usichafue maneno ambayo unaelekezwa........ Tafakariiiiiiiiiiiiii timeeeeeeee.
 
Back
Top Bottom