Abdully Culture
New Member
- Jul 20, 2019
- 2
- 1
Je Ni mbinu gani naweza kutumia kufaulu kwenye combination yangu ya EGM maana naona watu wengi wana nitisha sana kwamba comb hii ni ngumu na ningumu kufaulu naombeni ushauri wenu Jaman...!
Hakikisha unasoma na kuelewa topic.Je Ni mbinu gani naweza kutumia kufaulu kwenye combination yangu ya EGM maana naona watu wengi wana nitisha sana kwamba comb hii ni ngumu na ningumu kufaulu naombeni ushauri wenu Jaman...!