Je, matumizi ya mafuta kwenye Toyota Crown Athlete yapoje?

upo sahihi kabisa
 
Mkuu nisaidie kwenye altezza ulaji wake,maana nataka nishuke kwenye subaru legacy twin turbo niingie kwenye tezza
Chukua Altezza yenye 6 Cylinder 1g-fe Beams (155hp) inakula wese kwa pozi na haitumii nguvu sana kupata mwendo kuliko ile ya 4 Cylinder 3s-Ge beams(187hp) ambayo inakamua zaidi wese unapotaka isogee kiuhakika.

Wabongo watakuja kushangaa kwanini nimekwambia chukua 6 ila ni maswala ya phyisics na uzoefu.
 
Hahah aisee ni kweli,ile shape yake+ile milango yake ilinichanganyaga aisee nikaona niivute, nikaipiga sport rims,mziki mnene ila kwny oil nili-surrender.

Since 2015 nilimuuzia muhindi na bado namuona anadunda nayo tu,atakua amejitoa mhanga aisee.
Hahaha wahindi wana dough, hawawazi kama sisi. Ila gali ya petrol kutafuna oil kiroho mbaya haikubaliki. That was too much!
 
Wachache hawaelewi hili
 
Ahsante sana kiongozi
 
Hichi ulicho ongea ni 100%

Nlikuwa na broo wangu mmoja anakanyaga wese kistaarabu,, amenifundisha pia,, yaan unacheza na kale kamshale unabalance tu, yaaan utashangà lita tano tu umevuka senegerema unaitafuta Usagara mwanza
 
mkuu hizi altezza za 3s-ge ni bhp 210 ni ile 3s-Ge latest generation ya YAHAMA

hiyo 3s-ge ya 189 ni ile 3s-ge generation ya pili kutoka hii ya yamaha mara nyingi huwa ipo kwenye Rav 4 za UK SPEC

ila hii 3s-ge ya kwenye tezza ni 4 cylnder ila piston room zake ni kubwa ndio maana inaproduce 200+ bhp na kula wese zaidi kudizi ile ya 1G ya 6 inline


ila sasa ukikutana na madalali wa kibongo wanakwambia altezza ya 6 ni injini kubwa inakula mafuta chukua ya 4 wakati ndio wanakupeleka kwenye moto
 
E
Eeh mkuu ni 5th Generation ndio inatoa 210 hp, 4th ndio hio yenye 180+ hp!
 
E

Eeh mkuu ni 5th Generation ndio inatoa 210 hp, 4th ndio hio yenye 180+ hp!
huwa nacheka nikikuta post za madalali wa bongo wanauza tezza alafu wanaandika engine ndogo 4 cylinder yani haili mafuta wangejua ile 6 ndio ipo economy kuliko hyo 4

na ukiwa huna elimu nayo unaingia mkenge unaacha 1g unavagaa 3sge ukijua hii yenye 4 ina unafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…