Ndio umpige mbele ya watu jamaniJuzi Tu hapo jmosi nimetoka mjini kuna kitu nilienda kumnunulia bila kumuaga naenda wapi,nikachelewa kurudi kidogo.
Akaniandikia meseji ya ajabu Hadi sn "yaani wewe mwanaume Hadi mshahara uishe ndy utatulia nyumbani,sasa hivi ushaenda Kwa michepuko yako". Isivyo bahati meseji inaingia nami ndy nafika nyumbani,nikaweka mzigo wake mezani akachezea vibao kadhaa kisha akaniomba msamaha kwamba hakujua km nimeenda huko
Kwa wale wenye kukaa na wanawake wanaelewa kbs jinsi wanawake wanavyozingua,Mimi simlaumu kbs master J km anampiga mkewe,maana kauli umetoka upande mmoja wa mwanamke,ingawa naye hayupo direct
Aiseemashavu ya wanawake yanavutia kupiga makofi
[emoji817]Ukiona mwanaume ameachana na mkewe wa ujana mukimbie Mita 1000 mbali kwa usalama wengi huwa na matatizo na hamna mwanamke anayependa kukimbia ndoa yake, Sasa wanawake wanaotaka ndoa huamini wataweza ishi naye kumbe ndio kutafta majanga
Ukweli kwa asilimia zoteUkiona mwanaume ameachana na mkewe wa ujana mukimbie Mita 1000 mbali kwa usalama wengi huwa na matatizo na hamna mwanamke anayependa kukimbia ndoa yake, Sasa wanawake wanaotaka ndoa huamini wataweza ishi naye kumbe ndio kutafta majanga
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe uko ka Mimi lazima nilipize nikutoe ngeu kabisa au nikuvunje mguuUkinipiga lazima nikupopoe mawe tu...kama hamna mawe basi kilichopo mbele yangu halali yako
Mimi siyo mpigaji hata kidogo,huwa inatokea mara moja Kwa mwaka tena labda niwe na hasira sanaNdio umpige mbele ya watu jamani
Sasa mke yupo ndani utajikataje kimya kimya? Utakimbia nyumbani kwako?Sijawai kupiga mwanamke na uhenda inaweza isitokee kabisa mimi kumpiga mwanamke.
Lakini wanawake wana midomo sana na wabinafsi sometimes unawaelewa wanaopiga mwanamke.
Mimi demu akizingua na makelele yake au mawivu najikataa kimya kimya atashangaa tu eeeh hivi kumbe mapenzi yashaisha.... ikitokea kwa mke sijui itakuwaje wanawake punguzeni midomo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] poleni huyo kakosea ila na nyie mnapenda kupiga Mimi kwa kweli tutapigana na nitalipiza kisasi kwa kulala hata na kisu mtu anayenipiga na Kuni provoke siwezani naye kabisaAlafu unakuta hili jibu unamjibu mumeo Kwa nn asikuwashe kerbu kidogo[emoji28]
cariha unamsikia mwenzio anavyotutusi wanaume wote wote mapunguani na tuna autism?
nyumbani,nikaweka mzigo wake mezani akachezea vibao kadhaa kisha akaniomba msamaha kwamba hakujua km nimeenda huko
Unapoteza muda wako kupiga wanawake wazima.Juzi Tu hapo jmosi nimetoka mjini kuna kitu nilienda kumnunulia bila kumuaga naenda wapi,nikachelewa kurudi kidogo.
Akaniandikia meseji ya ajabu Hadi sn "yaani wewe mwanaume Hadi mshahara uishe ndy utatulia nyumbani,sasa hivi ushaenda Kwa michepuko yako". Isivyo bahati meseji inaingia nami ndy nafika nyumbani,nikaweka mzigo wake mezani akachezea vibao kadhaa kisha akaniomba msamaha kwamba hakujua km nimeenda huko
Kwa wale wenye kukaa na wanawake wanaelewa kbs jinsi wanawake wanavyozingua,Mimi simlaumu kbs master J km anampiga mkewe,maana kauli umetoka upande mmoja wa mwanamke,ingawa naye hayupo direct
Mkuu kama yupo karibu muongeze kofi jingine, hawezi kukujibu hivyo.Kweli mkuu, kunasiku wife yaani anakataa kumnyonyesha dogo, namuuliza kwanini hataki akanijibu mnyonyeshe na wewe kama unaona raha, alikula banzi ambalo hatakuja sahau
Kuna mmoja alikuwa piga piga tena kaboy friend tu weeeee nilimng'ata kidole wakati ananibamizaaa mpaka Leo sidhani kama kinakunja[emoji23][emoji23][emoji23] wewe uko ka Mimi lazima nilipize nikutoe ngeu kabisa au nikuvunje mguu
Umeolewa...🤔🤔Ukinipiga lazima nikupopoe mawe tu...kama hamna mawe basi kilichopo mbele yangu halali yako
I bet hujaoa, mawazo yako haya huwezi kuyatumia kwa mke wa ndoa.Wamekushindwa kwenu mimi nikupige hapana, ukinishinda naendelea na safari ya kuangalia mwingine yaani binadamu wa sasa walivyo laini ukimtwisha ngumi akafa unaongeza tatizo.
Kuna matatizo ya kukabili na matatizo ya kukimbia
Dah mkeo naye hajakua bana na utoto unamsumbua kwanini ahangaike na simu ya mumewe Sasa, maana na hyo Hali hukera kwelikweli kufatiliana ka watoto wadogo na kupangiana maisha honestly Mimi mtu wa hivo hata sijibishani naye nahama nyumba, sema wewe una mdunda isije leta shida, my Friend, classmate wangu wa bachelor huwa tunapiga sana story na kucheka na hata kushauriana, Sasa mke hataki yeye aongee na mimi au marafiki wengine wa kike Sasa najiuliza ina maana ukioa huruhusiwi kuongea hata na marafiki wengine, Sasa rafiki yangu hupiga Hadi anazimia kisa wivu, to me too much jealous naona ni ukichaa huoNiombe radhi hapo kwenye depression cariha [emoji16]
tatizo ana wivu sn Hadi amepitiliza..Huyu mwanamke wa kunitumia meseji naona umeshapata hela basi utaangaika Na hao Malaya zako Hadi iishe ndy utatulia nyumbani wakati sina mchepuko hata mmoja..cariha Hadi hapa unamtetea Tu?.Kwa nn asiniulize kistaarabu upo wapi nami ningemjibu tu
[emoji23][emoji23][emoji23] dawa ni kumuachia tu kovu Ili asikusahauKuna mmoja alikuwa piga piga tena kaboy friend tu weeeee nilimng'ata kidole wakati ananibamizaaa mpaka Leo sidhani kama kinakunja