Quinn
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 473
- 1,185
Jibu la swali hili ni HAPANA kwasababu ifuatayo:
China
iliitangazia dunia May 2019 kuwa itapingana na vikwazo vyovyote vya marekani vya kumzuia kununua mafuta kutoka Iran.
India
nayo ilitangaza pia kupingana na vikwazo vya marekani vya kuwazuia wao kununua mafuta kutoka Iran kwani nchi hizi zinategemea mafuta kwa kiasi kikubwa kutoka Iran.
Shambulio lolote litakalofanywa nchini Iran itapelekea kuzuia biashara ya mafuta kuelekea nchi hizo ikiwemo China
ambayo italazimika nayo kupeleka nguvu ya kijeshi ili aendelee kupata mafuta kwani ni moja ya kichocheo kikubwa cha uchumi wa nchi yake hawezi kuvumilia usitishwaji wa mafuta kwenda nchini kwake.
Kuthibitisha hilo kwa wanaokumbuka shambulio ambalo Japani lilifanya kule Pearl harbour ilitokana na Marekani kuzuia uingizaji wa mafuta kuelekea Japan kutoka julai 1941 na kuendelea. Shambulio la Japan lilikuwa ni hatua ya kuonesha hasira yao baada kuzuia uingizaji wa mafuta Japan.
en.wikipedia.org
Uvamizi wa Kijeshi utakaofanya na Marekani wa kuingia Iran ni kutangaza vita kwa China
na India
. China anaweza kurudisha mashambulizi kwa kusaidiana na Iran ambapo China
ana umiliki mkubwa wa silaha za nyuklia kwani mafuta kwa dunia ya sasa ni muhimu kama yalivyo maji kwa Taifa lolote.
www.cnbc.com
Mbali na hizi nchi mbili kutegemea sana mafuta kutoka Iran bali nchi nyingine zinazotegemea mafuta kutoka Iran ni pamoja na Nchi za ulaya, Japan
, korea ya kusini na nyingine nyingi na hii inaonyesha hata baadhi ya washirika wa marekani wanategemea mafuta kutoka nchi hii hivyo kuvamiwa kwake inaweza ikaleta usaliti mkubwa kwa marekani kwani wengi watamsaliti kwakuwa atakuwa amegusa maslai yao pia na ndo maana siku zote wamekuwa kimya pale marekani alipotoa maneno ya kuvamia kijeshi Iran
na hawataki kutoa neno lolote kuonesha support kwa marekani.
Vikwazo au shambulio lolote kwa Iran ni tishio kwa usalama na ulinzi wa China
na India
.
Urafiki wa China na Iran ilipelekea China
kumpatia Iran
Copy ya Teknolojia ya Silaha aina ya EMAD Anti Ship Missile ambayo ni silaha nzito ya kuangamiza meli kubwa za kivita na hili swala liliwakera sana wamerakani baada ya China kucopy hiyo teknolojia na kumpatia Iran. Nchini China
hii Silaha inaitwa Dong Feng-21 ship killer.
Iran
pia kwa kushirikiana na korea ya kaskazini iliweza kutengeneza rocket ya kubeba makombora mazito yenye tabia sawa na ya korea kaskazini aina Nodong. Kombora hili lina mtambo wa rocket wa kuruka mbali ambayo inaweza kufuata kombola lingine aina ya Aegis angani na kulizuia kabla ya kuja kuleta madhara ardhini na kombora hili limefungwa mifumo ya siri isiyoweza kuwa detected na radar wakati inakwenda kusawazisha hilo kombora hvyo ni ngumu kutabiri mwelekeo wa ujio wake. Ushirikiano huu wa Iran na Korea kaskani uliongezea vikwazo vingi sana Iran.
Marekani amekosa uhuru wa kuitawala anga la Iran
. Wakati JCPOA wakijadiliana na Urusi 2013-2015, Urusi ilikubali ombi la Marekani la kutouizia Iran
Mfumo wa kujikinga na mabomu wa S-300. Baada ya Marekani kujitoa kwenye JCPOA mwaka 2019, Urusi akavunja makubaliano yake na Marekani ya kutoiuzia mfumo wa kujikinga na mabomu S-300 kwa Iran.
Baada ya Iran kuzuiwa kupata huo mfumo wa S-300 ikaja ikafanikiwa kupata nyaraka za siri ya jinsi ya kutengeneza copy ya ule mfumo. Iran walitengeneza copy ya teknolojia ya mfumo wa S-300 lakini wakaiongezea uwezo zaidi kuliko ule mfumo wa awali wa S-300. Ilikuja kuonekana kuwa nyaraka za Siri za kutengeneza huo mfumo pia Korea ya kaskazini walizipata na wao wakatengeneza copy yao na ikaja kuonekana Iran walizipata kutoka Belarus
.
Copy ya S-300 iliotengenezwa Iran iliitwa Bavar 373. Baada ya kufanyiwa Majaribia ndipo ikaja kuonekana mfumo huo wa kujikinga na makombora unafanana na mfumo wa kisasa amabao ni toleo jipya la S-400 ya nchini Urusi. Mpaka leo hii Marekani inamlaumu Urusi kuwa aliuza teknolojia hiyo kwa Iran.
Mfumo huu unaweza kuzuia makombora kwa wakati mmoja yaliyorushwa kutoka kwenye vyanzo tofauti kwani inafanya kazi kulingana na frequencies za ayo makombora.
Kuivamia Iran ni jambo ambalo haliwezi kutokea ama iwe ya kisiasa au kiuchumi. Marekani itaongeza tu vikwazo kwa Iran na sio kuivamia kijeshi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
China
iliitangazia dunia May 2019 kuwa itapingana na vikwazo vyovyote vya marekani vya kumzuia kununua mafuta kutoka Iran.India
nayo ilitangaza pia kupingana na vikwazo vya marekani vya kuwazuia wao kununua mafuta kutoka Iran kwani nchi hizi zinategemea mafuta kwa kiasi kikubwa kutoka Iran.Shambulio lolote litakalofanywa nchini Iran itapelekea kuzuia biashara ya mafuta kuelekea nchi hizo ikiwemo China
ambayo italazimika nayo kupeleka nguvu ya kijeshi ili aendelee kupata mafuta kwani ni moja ya kichocheo kikubwa cha uchumi wa nchi yake hawezi kuvumilia usitishwaji wa mafuta kwenda nchini kwake.Kuthibitisha hilo kwa wanaokumbuka shambulio ambalo Japani lilifanya kule Pearl harbour ilitokana na Marekani kuzuia uingizaji wa mafuta kuelekea Japan kutoka julai 1941 na kuendelea. Shambulio la Japan lilikuwa ni hatua ya kuonesha hasira yao baada kuzuia uingizaji wa mafuta Japan.
Prelude to the attack on Pearl Harbor - Wikipedia
Uvamizi wa Kijeshi utakaofanya na Marekani wa kuingia Iran ni kutangaza vita kwa China
na India
. China anaweza kurudisha mashambulizi kwa kusaidiana na Iran ambapo China
ana umiliki mkubwa wa silaha za nyuklia kwani mafuta kwa dunia ya sasa ni muhimu kama yalivyo maji kwa Taifa lolote.
Here's why China and India will remain defiant amid threat of US sanctions for Iranian oil imports
President Donald Trump's administration announced Monday that buyers of Iranian oil must stop purchases by May 1 or face sanctions.
Mbali na hizi nchi mbili kutegemea sana mafuta kutoka Iran bali nchi nyingine zinazotegemea mafuta kutoka Iran ni pamoja na Nchi za ulaya, Japan
, korea ya kusini na nyingine nyingi na hii inaonyesha hata baadhi ya washirika wa marekani wanategemea mafuta kutoka nchi hii hivyo kuvamiwa kwake inaweza ikaleta usaliti mkubwa kwa marekani kwani wengi watamsaliti kwakuwa atakuwa amegusa maslai yao pia na ndo maana siku zote wamekuwa kimya pale marekani alipotoa maneno ya kuvamia kijeshi Iran
na hawataki kutoa neno lolote kuonesha support kwa marekani.Vikwazo au shambulio lolote kwa Iran ni tishio kwa usalama na ulinzi wa China
na India
.Urafiki wa China na Iran ilipelekea China
kumpatia Iran
Copy ya Teknolojia ya Silaha aina ya EMAD Anti Ship Missile ambayo ni silaha nzito ya kuangamiza meli kubwa za kivita na hili swala liliwakera sana wamerakani baada ya China kucopy hiyo teknolojia na kumpatia Iran. Nchini China
hii Silaha inaitwa Dong Feng-21 ship killer.Iran
pia kwa kushirikiana na korea ya kaskazini iliweza kutengeneza rocket ya kubeba makombora mazito yenye tabia sawa na ya korea kaskazini aina Nodong. Kombora hili lina mtambo wa rocket wa kuruka mbali ambayo inaweza kufuata kombola lingine aina ya Aegis angani na kulizuia kabla ya kuja kuleta madhara ardhini na kombora hili limefungwa mifumo ya siri isiyoweza kuwa detected na radar wakati inakwenda kusawazisha hilo kombora hvyo ni ngumu kutabiri mwelekeo wa ujio wake. Ushirikiano huu wa Iran na Korea kaskani uliongezea vikwazo vingi sana Iran.Marekani amekosa uhuru wa kuitawala anga la Iran
. Wakati JCPOA wakijadiliana na Urusi 2013-2015, Urusi ilikubali ombi la Marekani la kutouizia Iran
Mfumo wa kujikinga na mabomu wa S-300. Baada ya Marekani kujitoa kwenye JCPOA mwaka 2019, Urusi akavunja makubaliano yake na Marekani ya kutoiuzia mfumo wa kujikinga na mabomu S-300 kwa Iran.Baada ya Iran kuzuiwa kupata huo mfumo wa S-300 ikaja ikafanikiwa kupata nyaraka za siri ya jinsi ya kutengeneza copy ya ule mfumo. Iran walitengeneza copy ya teknolojia ya mfumo wa S-300 lakini wakaiongezea uwezo zaidi kuliko ule mfumo wa awali wa S-300. Ilikuja kuonekana kuwa nyaraka za Siri za kutengeneza huo mfumo pia Korea ya kaskazini walizipata na wao wakatengeneza copy yao na ikaja kuonekana Iran walizipata kutoka Belarus
.Copy ya S-300 iliotengenezwa Iran iliitwa Bavar 373. Baada ya kufanyiwa Majaribia ndipo ikaja kuonekana mfumo huo wa kujikinga na makombora unafanana na mfumo wa kisasa amabao ni toleo jipya la S-400 ya nchini Urusi. Mpaka leo hii Marekani inamlaumu Urusi kuwa aliuza teknolojia hiyo kwa Iran.