Je Mapigano ya Kikabila yataisha lini Tanzani???

Mtu wa Kawaida

JF-Expert Member
May 2, 2008
239
69
Wadau kuna habari nimezipata muda si mrefu kwamba kuna vita kati ya koo ya Wairege na Wanyabisi na kuna mwanakijiji mmoja kajeruhiwa na kapelekwa hospitali.
Je kuna mdau anaweza kutuabarisha zaidi?? Kuhusiana na hii taarifa
 
Back
Top Bottom