Je, Mama ni Mungu?

Sasa kama umeshindwa kujua huo mstari nilioukoti ni agano jipya unafikiri tutaelewana kweli...kitabu cha waefeso sio agano la kale.
 
Na laana hua zinaishia mbingun. huwa Mungu naye anazipima nani mwenye kosa
 
Wazazi wote wawili, yaani baba na mama, baada ya Mungu wanafuata wao. Mungu alituleta duniani kupitia kwa hawa wazazi wetu. Ndio kusema, bila wazazi wewe au mimi tusingekuwepo duniani. Kwa hivi, wazazi wamepewa na Mungu ukuu wa mamlaka juu yetu (watoto).

Sasa wengine wanauliza; kwa nini mzazi ana uwezo wa kumpa laana mtoto wake? Jibu ni kwamba, kama alipata mamlaka ya kukuleta duniani, kwa nini asiwe na uwezo wa kukulani kwa matukio ya ajabu unayomfanyia? Ikumbukwe, haijalishi hali ya kimaisha ya mzazi wako, awe maskini, mgonjwa, tajiri, mwenye afya, mamlaka waliyopewa yana uzito sawa.

Wazazi wamepewa uwezo wa kubariki na ukafanikiwa kwenye maisha yako, au wakakulaani kulingana na mwenendo wako kwao, na ukapoteza kabisa katika maisha yako.

Kwa wale wanaosoma maandiko matakatifu, watakubaliana na mimi jinsi watu walivyowabariki watoto wao. Rebeka, mama wa Esau na Yakobo, alifanya hira ya kumpendelea Yakobo kubarikiwa na kumwacha aliyestahili baraka hizo, Esau, kwakuwa alimpenda sana Yakobo.

Isaka, alikuwa mzee sana wakati huo, hivyo alikuwa haoni, na akambariki Yakobo. Unaweza kuona mpaka leo hii jina la Yakobo ni kubwa dunia nzima. Hii Israel tunayoita leo ndio Yakobo, kwa maana inatokana na makabila kumi na mbili (watoto wa Yakobo). Kwa hiyo unaweza kuona jinsi baraka za wazazi zilivyo na nguvu kubwa. Vivyo hivyo kwa upande wa laana.
 
Mama yangu alienizaa alikuwa watofauti alinikataa ,akutaka kabisa ata kupokea msamaha niliomuomba kipindi chote Cha maisha yake mpka anafariki kuachana na baba yangu akanijumuisha mpaka na Mimi nisie na hatia ! Yote nilishaga yasamehe na nikamzika kwa amani, licha ya kunitamkia Mara nyingi kuwa ata akifa nisije kwenye mazishi yake...
 
Uzi makini
Mama si Mungu ujue
 
Hongera kwa kushiriki maziko yake..
Sauti ya Mama ni Nuru daima hasa ukiiskiliza kwa mtazamo chanya.
 
Mama yangu Mimi huyu awe Mungu ndegelec.

Mama ninayemjua Mimi anatutapeli mpaka wanawe


Mungu ni baba, Mungu ni mlinzi, Mungu hategemei chochote toka kwako, Mungu anakupenda ila hakwambii, Mungu hupigana vita vyako bila kujitangaza, Mungu hutaka ubebe matatizo yako mwenyewe.
Hizi ni sifa za baba namaanisha baba yule uliyetoka kwenye kiuno chake kama kijusi na kuingia kwenye mji ule na ukue.

Ndio maana baba halisi ana uwezo wa kubaliki kizazi chake ila mama hawezi.
 
Na laana hua zinaishia mbingun. huwa Mungu naye anazipima nani mwenye kosa
Hakika, kwa sababu nyakati zingine huyu mzazi huennda akataka ufanye shirki au hata usielewane na ndugu au hata baba yako mwenyewe na wakati huo huo akakuambia hatokua radhi nawe, si kwel kwamba laana itakupata kwa kutomtii katika haya, kubwa ni kuishi nao kwa wema na kuwatii huku ukichunga mipaka ya Mwenyezi Mungu
 
Mtihani,
 
Taikoni wa Fasihi mheshimiwa sana ROBERT HERIEL pitia pande hii naamini jibu mujarab lipo
 
kuna jamaa mm9ja aliwahi kuniambia kuwa mama akifa na k8nyongo na wewe hutoboiiiiii !!!!!!

Siku8shia hapo nilimuuliza je ufanye nn km mama yako ni mkorofi na ana kisirani jambo dogo

lazima alikuze lije juu mmmmh akanijibu ondoka karibu yake mk8mbie kakae nae mbali kabisa

sikuishia kwa huyo nikaenda muuliza mwengine na majibu yakawa yale yale tu huyu wa pili akaniambia lqzimq uishi na mama hata km mama ni mkorofi na anakutukana kila siku kwenda kuishi mbali nae n ni sawa na kutema maisha yako ukimkimbia mama umetema maisha yako

MWALIMU WANGU WA DARASA kuna siku alinishauri kitu nikamwambia mama hataki akaniambia kwan mama hayo maisha yako ni maisha yake huyu anaesema ivyo ni mmama mtu mzima na ana watoto
 
Kwasababu ya weakness yao tunatakiwa kuwa care na kuwasikiliza ili wapate amani.
Nimemaliza
rudi hapa ww unaenda wapi
elezea io WEAKNESS
na io unadai uwe care na kumsikiliza sasa nakupa mfano imagine umemaliza chuo ww hutaki sherehe ukidai kuwa sherehe itagharimu pesa nying ambazo wanhekupa ww zikusaidie afu mama anasema lazima sherehe ifanyike na mding wako kashampa mpunga kila ukimshaur ni kelele kelele asikilizi yy ajali pesa inavyotumikq yy anataka sherehe
 
Huo ndio udhaifu wenyewe.
Vitu hata vidogo huvitukuza
 
Swali gumu.
Muhimu kutafakari kwanza
ndugu yangu usijisumbue kutafakari km ujui haya yalianzia wap !? na mpka nimefungua uzi ndio uje nimetafakar sikupata majibu

YESU katika biblia tunaambiwa alipoitwa na mama yake kipindi anahubiri meno alisema km ifuatavyo mama na ndugu zangu ni wale wanaolifuata neno la MUNGU

TWENDE CHINI kwanza nikueleze kuna siku nilijitia mjuqji kumsifia mama hoja ilikuwa hv je ni nan anafanya kazi sana ili mtoto azaliwe mm kujiamin nikasema mama jamaa mmoja akaniambia hapa tunazungumzia instrinsic things ma si swala la maumbile nikawa nazozana na uyo jamaa ndio jamaa akawaita wafada fulan akawaambia kuwa uyu anabishana na mm sababu mm na yeye wote ni wanaume mjibuni nyinyi wakaniambia maswala ya sijui umekaa tumboni miezi sita ni swala la maumbile hapa tunabishana mambo ya kisayansi kuna kitu kipo ndan ya mwanaume hicho mdicho kimachobeba whole process ya mimba kutungwa adi mtoto kuzaliwa na mwanaume ndio ana X AND Y mwanamke yy ana X tu
 
Huo ndio udhaifu wenyewe.
Vitu hata vidogo huvitukuza
hahahaaa aisee sasa unafanyaje mkuu maisha magumu afu yy anakuforcw ufanye bomba la shwrehe watu wanywe afu unakuta hata gar huna ukihoji ni kwlele tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…