Huyu ndugu alipoondolewa yeye na Wambura hoja ya ubovu wa katiba ilipoanza.Hata Makala ndipo alijitokeza.
Mtandao alioanzisha unafanana na ule dhidi ya akina Sumaye na Salim Ahmed Salim wakati ule kutumia magazeti na tv kuchafua washindani wao.Clouds sports extra na sports bar wanaimba kila anachotaka Malinzi ili tumuone anafaa.Radio One haswa Kitenge na Katanga ndo usiseme.Hata hoja pinzani hawazipi nafasi.Wengi tunajua siri ya haya yote.Ukaribu na fadhila za Cargo Stars/D.Malinzi kwa Kitenge unajulikana.Kama mtu anafaa debe hilo la nini sasa na kuhujumu washindani ili iweje.
Tunajua mengi hadi mambo yaliyokuwa yakipangwa pale jirani na leaders opposite Ultimate Security Offices,Jamal ataelewa zaidi hili.