Je, Mafuta mgando (virainishi) yanaweza zuia maambukizi ya UKIMWI!?

Mtapenda

JF-Expert Member
Sep 20, 2011
1,115
2,055
Habari zenu wakuu.. wote tunajua kwamba maambukizi ya UKIMWI husababishwa na muingiliano wa damu kati ya muathirika na asiye athirika

Moja kati ya kisababishi kikubwa ni kufanya mapenzi.. lakini pia tuna shauriwa kumuandaa mwanamke vizuri ili uke wake uwe raini lengo michubuko isitokee wakati wa tendo..

Now days watu mbali mbali wanapata mafuta mgando kwenye uume (mkuyenge) na uke (papuchi) ili kutengeneza Mterezo wakati wa tendo ambayo huzuia michubuko...

Je! Kwa utalaam wenu wadau huyu mtu anaye tumia mafuta ya mgando ama virainishi vyovyote anaweza salimika na virusi vya ukimwi?
 
Hiyo kondom yenyewe ni chenga tu sembuse baby care! Kwani ukiondoa michubuko hizo gameti uke na gameti ume zikiingiliana ndani ya mwili wako zinaweza sambaratishwa na hiyo baby care?
 
Mbona condom inasaidia saana watu watu wamengonoka na malaya sanaa lakini hawana VVU
 
Kama gamet ume na uke vikiungana si ndio mtoto anatokea.. inakuaje mtoto anakua hana maambukizi yoyote ilihali wazazi wanavyo
 
Mbona condom inasaidia saana watu watu wamengonoka na malaya sanaa lakini hawana VVU
Ku sex na mwanamke usiyejua afya yake bila condom ni sawa na kuogelea kwenye bwawa lenye mamba 5 na ku sex na huyo huyo mwanamke na condom ni sawa na kuogelea bwawa lenye mamba mmoja so haujabadili kitu kuwa muda wowote hao mamba wanaweza kukuwa ila unapunguza tu ile probability ya kuuwawa .
So kikubwa ni hiki usiwe na michubuko kwa kuwa ukimwi unahitaji damu na damu bassssss.
Ila unaweza hata sex na mwanamke mwenye ukimwi bila condom alimradi uwe umemuandaa vizuri na maji maji ya uke yakawepo ya kutosha.
 
Kuna usalama mkubwa pindi mafuta mgando yanapotumika kuliko kumuanda mwanamke ili via vya uzazi viwe na unyevunyevu. HIV hana chanzo cha kujongea yaan vehicle medium km fluid such as blood
 
Nawataka watu kama nyie wenye uelewa na sio mazumbukuku wengine kazi kututisha
 
Kuna usalama mkubwa pindi mafuta mgando yanapotumika kuliko kumuanda mwanamke ili via vya uzazi viwe na unyevunyevu. HIV hana chanzo cha kujongea yaan vehicle medium km fluid such as blood
Ubarikiwe mkuu bonge la muelewa wewe
 
Ku sex na mwanamke usiyejua afya yake bila condom ni sawa na kuogelea kwenye bwawa lenye mamba 5 na ku sex na huyo huyo mwanamke na condom ni sawa na kuogelea bwawa lenye mamba mmoja so haujabadili kitu kuwa muda wowote hao mamba wanaweza kukuwa ila unapunguza tu ile probability ya kuuwawa .
So kikubwa ni hiki usiwe na michubuko kwa kuwa ukimwi unahitaji damu na damu bassssss.
Ila unaweza hata sex na mwanamke mwenye ukimwi bila condom alimradi uwe umemuandaa vizuri na maji maji ya uke yakawepo ya kutosha.
Nondo hii km ingekuwa chakula basi ningesema ni baga
 
Back
Top Bottom