Je maboreso katika elimu yamefanikiwa

rafiki2010

Member
Sep 23, 2010
23
0
Kuongezeka kwa ubora wa Elimu :SHULE ZA MSINGI
1.Uandikishaji wa Wanafunzi katika shule za msingi umeongezeka kutoka wanafunzi 7,541,208 mwaka 2005 na kufikia 8,441,553 mwaka 2010. Hili linajidhilisha dhahiri kupitia kwa watoto wetu kwa jinsi wanavyopata nafasi ya kujiunga na shule hizo

2.ONGEZEKO LA WANAFUNZI WANAOFANIKIWA KUJIUNGA NA SHULE ZA SECONDARY

Mafanikio hayo yanatokana na kuongezeka kwa ujenzi wa shule za kata ikihisishwa na nguvu za wananchi wenyewe iwapo bado kuna tatizo la walimu na maabara , hili ni jambo lililokuwa likitegemewa na wengi wenye kuona mbali ikiwamo na rais wetu jakaya mrisho kikwete ....... hili lilikuwa ni jambo la busara kwa serikali kuanza kujenga shule kwanza kama awamu ya kwanza na awamu ya pili kufanikisha suala la walimu na maabara ili linaoneka wazi hata kama ingekuwa serikali ya chama pinzani madarakani isingeweza kufanikisha yote kwa pamoja ,,,,,,,,,,,, kutokana na mafanikio ya ya ujenzi wa CHUO KIKUU CHA DODOMA kitaweza kutoa walimu ELFU ISHIRINI( 20000) kwa chuo cha dodoma peke yake kila mwaka na tukiusisha pamoja na vyuo vingine tanzania inaonesha wazi kuwa tatizo la walimu tanzania litatokomoe na hatimae kutakuwa kuna wiimbi kubwa la walimu tanzania


3. ONGEZEKO LA WANAFUNZI WANAO INGIA CHUO 2010-2011

Hii inachangiwa na kutumiwa kwa mpango mzuri wa uchaguaji wanafunzi kujiunga na vyuo kkupitia ( TCU) kama kiunganishi cha wanafunzi kujiunga na chuo hii imepelekea mwanfunzi mmoja kupata moja kwa chuo husika
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom