Hawajali kabisa kabisa.Huwa wanajali?Kama mnaendelea kupumua inatosha.Won't help anything!
Ni wakati Watanzania tutakapoondoa woga na kuwaambia the elites/Mabwana, enough is enough. Hapo ndo tutakuwa tumepona kama nchi.Tanzania, kama taifa, ina safari ndefu sana! Selfish politicians serving their own selfish bellies at the expense of the masses. Pathetic!
By the way nchi hii si ya kina Kikwete, Rizwan, SSH & Company ama mtu yeyote yule. This is our country we should DEMAND ACCOUNTABILITY TRANSPARENCY and FAIRNESS devoid of any patronage from ANY quarters!!Tanzania, kama taifa, ina safari ndefu sana! Selfish politicians serving their own selfish bellies at the expense of the masses. Pathetic!
Ipo siku watajali tu. Japokuwa itakuwa too late!!!Huwa wanajali?Kama mnaendelea kupumua inatosha.Won't help anything!
Hawajali kabisa kabisa.
Hii nchi ni yao, na kama huamini jaribu kuhoji uone utakavyoshughulikiwa. Nchi ni yetu wote kwenye maandishi, lakini kwenye keki ya taifa wao ndio wanufaika. Na vile Magufuli kawafundisha kukaa madarakani bila kujali box la kura, hapo ndio shughuli ilipo. Jiandae tu kwa machafuko ili mabadiliko utakayo yatokee.By the way nchi hii si ya kina Kikwete, Rizwan, SSH & Company ama mtu yeyote yule. This is our country shoukd DEMAND ACCOUNTABILITY TRANSPARENCY and FAIRNESS devoid of any patronage from ANY quarters!! Ama ni vipi mkuu?
Machafuko watakuwa wameyataka wenyewe. Angalia kinachoendelea Sudan. Watu wakishachoka hata uwaue wanakuja tu. Utoe vifaru. Ndo wanavirukia. The only thing viongozi kuzisoma nyakati.Hii nchi ni yao, na kama huamini jaribu kuhoji uone utakavyoshughulikiwa. Nchi ni yetu wote kwenye maandishi, lakini kwenye keki ya taifa wao ndio wanufaika. Na vile Magufuli kawafundisha kukaa madarakani bila kujali box la kura, hapo ndio shughuli ilipo. Jiandae tu kwa machafuko ili mabadiliko utakayo yatokee.
Mkuu unajua huwa wansjisahau kama walivyojisahau na kusema nchi ni yao. Then the unexpected inawatokea kila mmoja anasepaNa vile hawategemei kura kukaa madarakani, hapo ndio kazi ilipo.
Kama huna la kusema sema tu kuwa hujui. Hili ni zito kwako.a e i o u
Kwahiyo before Magufuli CCM Ilikua inashinda uchaguzi?Hii nchi ni yao, na kama huamini jaribu kuhoji uone utakavyoshughulikiwa. Nchi ni yetu wote kwenye maandishi, lakini kwenye keki ya taifa wao ndio wanufaika. Na vile Magufuli kawafundisha kukaa madarakani bila kujali box la kura, hapo ndio shughuli ilipo. Jiandae tu kwa machafuko ili mabadiliko utakayo yatokee.
Hata hivyo for how long?Tanzania, kama taifa, ina safari ndefu sana! Selfish politicians serving their own selfish bellies at the expense of the masses. Pathetic!
Tena sana. Tunaonekana kama Mazezeta vile.Hatari mno !
Wezi wa kura ni sawa na wezi wa mtihani.Na vile hawategemei kura kukaa madarakani, hapo ndio kazi ilipo.
Huyu tindo alikuwa Ni GT Sana lkn tangu afe mwendazake kila hoja akibishana na mtu lazima aongelee Magu, ni kma vile kifo cha Magu kimempa ugonjwa, Magufuli alishazikwa Bora aende kwenye kaburi lake, ili amalize hizo chuki za kuchukia wafu. Jaribu kufatilia hoja zake zote Kwa asilimia 70 utakuta amemtaja Marehemu, hebu punguza huo ugonjwa mkuu.Kwahiyo before Magufuli CCM Ilikua inashinda uchaguzi?