je? lugha yetu ya kiswahili imezingatiwa ktk ilani?

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,125
7,710
Tangu kampeni zianze bado sijasikia chama chochote kikizungumzia mikakati ya kuinua lugha yetu ya kiswahili.
kwa kipindi kirefu lugha ya kiswahili imekuwa kama inadharauliwa na watanzania wenyewe na kutukuza sana kiingereza...hadi kufikia kudharauliana kana hujui kuongea kiingereza....unaonekana hujasoma au mbabaishaji.........sasa tunataka kusikia sera za kukipa heshima kiswhili na kuweza kutumika ktk shughuli zote za kiserikali.
si haba ktk awamu hii ya 5 chini ya JPM amejitahidi kukipa hadhi kiswahili lkn bado sisi wananchi tunahitaji kusikia mikakati madhubuti ya kukiinua kiswahili.....
tunataka kuona matumizi ya kiswahili maofisini, bungeni, mahakani, na ktk mikataba yote amabayo serikali inaingia.
 
Back
Top Bottom