1. Mwapachu aliwatukana akahama na baadae akarudi akapokelewa kwa mikono miwili.
2. Wasira aliwahi kuhamia NCCR Mageuzi na kuituhumu ccm kwa rushwa lakini aliporudi alipokelewa na kupewa uwaziri katika awamu mbili tofauti za uongozi.
3. polepole aliwahi kusikika akisema uchaguzi ukiwa guru na Wa haki ccm ijiandae kukabidhi madaraka, lakini alipogeukia huko harakaharaka alipokelewa na kupewa vyeo rukuki na sasa no katibu itikadi na uenezi Wa chama.
4.
5.
6
Je kwa mifano hiyo pamoja na kwamba wanambeza Lowassa, ikitokea akaamua kurudi huko, je atakataliwa?