Je, Liverpool anaandaliwa mazingira?

Randy orton

JF-Expert Member
Apr 29, 2019
1,338
3,543
Sote ni mashahidi wa namna Klopp ameibadili Liverpool, ameibadili kutoka mediocrity hadi kuwa miongoni wa zile Timu tishio ulaya.

Kikwazo pekee kwenye mafanikio ya Klopp ni kiu ya Premier League ambayo hawajaipata Tangia Rais wa Tz akiwa Mzee Mwinyi, na anayeonekana kumzuia ni Pep Guardiola.

Jana wote tumeona game yenye ushindani mkali sana kati ya Pep na Klopp, game ilikuwa kali sana ila iliharibiwa na refa ambaye alikataa katu katu kutumia teknolojia licha ya matukio mbali mbali uwanjani na imekuwa mfululizo wa maamuzi mabaya ya marefa dhidi ya Man city.

Kwa muenendo wa jana nadhani kuna campaign dhidi ya Man city ambayo mosi, wasichukue EPL mara 3 mfululizo ambapo itaharibu dhana ya ugumu wa Premier League na pili Liverpool wachukue ubingwa na wafute mwiko wa kutolichukua kombe kwa muda mrefu.

Kwa hali hii, unadhani mbinu za figisu dhidi ya Man City na Pep zitafaulu?
 
Jana VAR ilizimwa.

Pale unfield hakuna kitu ni rushwa tu na kubebwa.

Ngoja tuone hata mwaka jana ilikuwa hivi ila epl waliisikia kwenye bomba.

IMG_20191111_075616.jpeg
 
Sijawahi kuielewa hii VAR naamini ni ya wacheza kamari tu shubamit,siipendi na bora Tanzania tulivyoikataa kutumika katika VPL ashukuriwe mhe Rais na serikali yake....
 
Kwani City wao walikuwa wanategemea kufunga kwa mkwaju wa penalty? Nini kiliwafanya wakashindwa kumzuia Robbo mpaka akapiga cross iliyomkuta sala na kuandika goal la pili?

Vaa iliwasaidia vipi liverpool mpaka wakafanikiwa kuipenya ngome dhaifu ya city na kusababisha goal la 3 la Mane?

Mapungufu ya kwenye game 1 nd io yaonekane

^1!!
 
Sense.
 
uelewa wako wa mpira ni mdogo sana
 
Back
Top Bottom