Je, linawezekana hili kwenye vingámuzi?

Je, linawezekana hili kwenye vingámuzi?

sijui nini

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
2,553
Reaction score
1,293
Nauliza tu wakuu...
Hivi vingamuzi nya startimes na vinginevyo (ukitoa dstv na zuku na vinginevyo vinavyotumia madishi) hivi vinhamuzi vya kawaida tu, je inawezekana kuunganisha dishi kwenye hivi vingámuzi?? yaan kama kuna sehem optional hivi kwamba unaweza ukachomeka waya wako wa dishi kwa mtu mwenye nalo....???naomba kujuzwa..mi natumia dstv na fta dish so hivi vingámuzi vinginevyo sijawahi tumia kabisa wala kuvichunguza kwa ukaribu...
 
Haiwezekani ving'amuzi havina sehemu ya kuingiza(kuweka)waya unaotoka kwa dishe/satellite.
 
Hivi ni DVBT(DIGITAL VIDEO BROADCAST TERRESTRIAL) na siyo DVBS(DIGITAL VIDEO BROADCAST SATELLITE). DVBT wanatumia masafa ya Ardhini,na DVBS wanatumia masafa ya anga/SATELLITE. Kwa hyo ni vigumu kutumia dish. HAIWEZEKANI.
 
shukrani sana ndugu zangu..mmenisaidia..
 
Back
Top Bottom