Je leo FC Bayern itathibitisha usemi huu?

Je leo FC Bayern itathibitisha usemi huu?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,709
Reaction score
1,735
Pana dhana kule Ulaya kuwa klabu iifungayo FC Barcelona (timu bora Ulaya) kwenye robo au nusu fainali ya UCL ndio huwa bingwa wa kombe hilo. Sasa leo tuona kama FC Bayern itaendeleza usemi huu. Kila la heri FC Bayern japo ulitufunga kiaibu lakini kombe lipo kwako leo. Tutakutana msimu ujao.
 
Hayo mambo ya kutabiri yakizamani sana............Mpira bwana ni dakika 90 na nyongeza za mwamuzi........Ikishindikana hapo 30 huitajika! Hivyo muda 2 ndio unaoweka mambo wazi, siyo kusema ooho timu A itashinda mara oohoo timu B itaibuka na ushindi.
Hapo kila shabiki atavutia kwake, hata kama timu yake ni mbovu namna gani....Mwaka jana wakati wa nusu fainali mashindano hayo hayo baada ya kuonekana chelsea watavaana na barcelona basi watu wengi waliitupia upatu barcelona,kisa ni timu bora.....Ila kilichotokea hawatakisahau kwa urahisi.............................
Hivyo napenda kuwambia kuwa msifanye wakina pweza kama alivyokuwa Paul, mshindi ni yule atakayecheza vizuri na mwenye bahati
 
Mie nataka tu kuangalia entertaining football kwa muda wote wa mchezo kama ni 90 minutes au 120 minutes. Wameweza kuzishinda timu nzuri sana za Ulaya hivyo lazima watupe burudani la uhakika.
 
Pana dhana kule Ulaya kuwa klabu iifungayo FC Barcelona (timu bora Ulaya) kwenye robo au nusu fainali ya UCL ndio huwa bingwa wa kombe hilo. Sasa leo tuona kama FC Bayern itaendeleza usemi huu. Kila la heri FC Bayern japo ulitufunga kiaibu lakini kombe lipo kwako leo. Tutakutana msimu ujao.

Conspiracy theory yako imekua verified usiku wa leo!
 
Conspiracy theory yako imekua verified usiku wa leo!
Mkuu hii niliiona kwa kigezo cha Bundesliga, mpaka jana Bayern Munich GF 98 GA 18 PTS 91, Dortmund GF 81 GA 42 PTS 66. Wasingeshinda ingekuwa ni miujiza katika soka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom