Je, Laptop yoyote inafaa kwa video editing?

Je, Laptop yoyote inafaa kwa video editing?

Naomba majibu yenu wataalam
Inategemea na app unayotumia ku edit video na upo serious kiasi gani.

Laptop ndogo kabisa ya 2022 ina nguvu kushinda laptop ya mamilioni ya hela ya 2007, na 2007 watu walikuwa wanaedit video.

Unaweza tumia laptop isio na nguvu ukaweka version za zamani mfano kama ni Adobe products ukatumia cs3, na maisha yakaenda.

Ila kama upo serious na maisha yako yanategemea video editing inabidi hela ikutoke, ama ununue desktop.

Otherwise kama unafanya kwa hobby tu unaweza ukatafuta used laptop i5 ama i7 inayoishiwa na HQ ama MQ ama Qm.
 
Inategemea na app unayotumia ku edit video na upo serious kiasi gani.

Laptop ndogo kabisa ya 2022 ina nguvu kushinda laptop ya mamilioni ya hela ya 2007, na 2007 watu walikuwa wanaedit video..
Nipo serious mkuu. Kima cha chini sh. ngapi?
 
tafuta hii laptop alienwaire!
hata animation utafanya
 
Back
Top Bottom