Je, Kwenda Ivory Coast wanahitaji VISA au passport?

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,415
1,379
Wakuu,

Next month katikati nategemea kwenda Ivory Coast,je kwenda huko inahitaji kuwa na VISA? Maana kuna baadhi ya mataifa hayahitaji VISA ila ni passport tu.
 
huko ni vifaranga vya ufaransa. visa nadhani utaipata kupitia ubalozi wa ufaransa hapa dar kama hawana ubalozi wao wenyewe
 
Back
Top Bottom