Maseto
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 944
- 546
Kwa siku za karibuni, Nimekuwa nikifuatilia kwa umakin sana maneno yanayozungumzwa na viongozi wa Chadema kwenye mikutano na kugundua kuwa wamekuwa wakimtaja Mungu mara kwa mara.
Wanaonekana kutuaminisha kuwa kila wanachofanya wanatumia nguvu za mungu.
Mungu hatumiwi kwa namna hiyo. MUNGU ANA MAHALI PAKE PA KUMTAJA TAJA.
Itafika wakati mtu akiruhusu kuwa tegemiz sana kwa Mungu hukosa uwezo wa kujituma ktk kufanikisha jambo eti Mungu hajamjalia.
Mungu husingiziwa kwa kila dosari au mafanikio.
Nashauri ktk majukwaa Mungu asitajwe kihivyo na chadema. Tuige mfano wa MWALIMU NYERERE alikuwa mhudhuriaji sana ibada lakini ktk majukwaa ya kisiasa hakumtaja Mungu.