Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,856
- 32,659
- Thread starter
- #21
Sio kweli...Yanga wanakikosi hatari zaidKatika misimu hii mitatu hakuna team iliyonufaika na marefa kama yanga tangia kipindi cha nabi ndio makocha wanakimbia maana engineer hersi anawaambia sisi hatushindi kwasababu yako.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
