Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,062 Reaction score 168,720 Apr 14, 2015 #1 Kichekesho:- Eti basi na Fuso yamelipuka baada ya kugongana. Fuso lilibeba matikiti maji. Wazo:- Kumbe tunaweza kutengeza petroli kwa kutumia matikiti. Maoni yangu:- Basi la abiria lilibeba petroli, ndio ikalipuka na kusababisha maafa yote.
Kichekesho:- Eti basi na Fuso yamelipuka baada ya kugongana. Fuso lilibeba matikiti maji. Wazo:- Kumbe tunaweza kutengeza petroli kwa kutumia matikiti. Maoni yangu:- Basi la abiria lilibeba petroli, ndio ikalipuka na kusababisha maafa yote.