johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,975
Msemaji mkuu wa serikali amesema maswala ya kitaifa husemwa na yeye, yale ya kisekta husemwa na mawaziri na yale ya maeneo ya kiutawala husemwa na wakuu wa maeneo yao kwa mujibu wa sheria. Ndiposa nimegundua Makonda aliusemea mkoa wa Dsm, na wizara ilikuwa inawataarifu wageni wetu wakiwemo watalii. Sasa Dr Kigwangala alimaanisha kuwazuia machoko gani pale airport wale wanaokuja kwa bombadia au KLM, nauliza tu waungwana!