juma ismail idrisa
Member
- May 30, 2017
- 49
- 15
Nilimaliza sekondary 2012 na kupata points 28 kwa D ya masomo 7 yani bios,geog,civcs,history kisw,book keeping,commerce .Je kwa koz ya community health naweza somea?? Or ni koz ipi naweza somea yenye market?
Ahsanteni!
Ahsanteni!