Je, kwa hili niendelee kuwa mpole au?

Je, kwa hili niendelee kuwa mpole au?

elias godfrey

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
35
Reaction score
6
Hallow guys wakubwa shikamooni wadogo mambo vipi well mimi ni kijana wa kiume nipo chuo sasa kuna msichana nilikua nampenda since naingia pale chuoni nipo nae class moja but ilikua vigumu kumwambia.

Kutokana na nilihisi kama hawezi kunielewa hivi so nilijaribu kuwaambia washikaji juu ya hili wakaniambia wewe mfuate mweleze ukweli wa moyoni so baadae ya ushauri huo nikaamua kumfuata yule binti na nikamuomba namba ya simu tukawa tunatalk siku moja night nikafunguka ya moyoni .

Binti akawa ananiambia nimechelewa sana kuwa nae sababu tayari ana mtu wake so nikaamua niendelee kumkazia kila siku mpaka yule binti akanikubalia lile ombi langu hapo bado tupo chuo sasa tulipofunga chuo kila mtu akaenda kwao sasa tokea haende kwao yule binti amekuwa akikaa kimyaaa sioni simu yake wala hata mesegi yaani anajifanya yupo busy ila kuhusu kula tunda lake bado sijala sasa waungwana kwa hili nikishakula tunda lake niendelee kuwa nae au niachane nae maana naona binti mwenyewe stress tupu naombeni mnishauri.
 
Nakushauri uendelee KUSOMA kwa bidii, ndio kilichokupeleka chuo.
Ukija mtaani wako wengi tu
Soma!
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Ushaona hafai ya nini kumsarandia, achana nae atakuja kukuletea matatizo

Kuhusu kula tunda wewe ndio mwamuzi wa mwisho unaejua una uchu kiasi gani na hilo tunda hapo nakuachia wewe
 
sasa ule tunda la nini na hali humtaki? Kwa kumbukumbu tu?

Afu nawe unajisifu umekubaliwa hata tundi hijala? Mambo ya picha ya samaki haya.
 
Hlw guys wakubwa shikamooni wadogo mambo vp well mm ni kijana wa kiume npo chuo sasa kuna msichana nilikua nampenda since naingia pale chuoni npo nae class moja but ilikua vigumu kumwambia kutokana na nilihisi kama hawezi kunielewa hivi so nilijaribu kuwaambia washikaji juu ya hili wakaniambia ww mfuate mweleze ukweli wa moyoni so baadae ya ushauri huo nikaamua kumfuata yule binti na nikamuomba namba ya simu tukawa tunatalk siku moja night nikafunguka ya moyoni binti akawa ananiambia nimechelewa sana kuwa nae coz tayari ana mtu wke so nikaamua niendelee kumkazia kila siku mpaka yule binti akanikubalia lile ombi lngu hapo bdo tupo chuo sasa tulipofunga chuo kila mtu akaenda kwao sasa tokea haende kwao yule binti amekuwa akikaa kimyaaa sioni simu yke wala hata msg yaani anajifanya yupo busy ila kuhusu kula tunda lke bado sijala sasa waungwana kwa hili nikishakula tunda lake niendelee kuwa nae au niachane nae maana naona binti mwenyewe stress tupu naombeni mnishauri

mbona watoto wa fb wametapakaa sana humu jf?? Naye huyu atajiita gt kweli?
Jf imeanza kutia hasira sana
 
Hahahaaaa.. Kama nakuona wakati unaendelea kumsubiria baada kuchezea cha Mbavu.

FISI (mnyama) ana tabia ya uvumilivu sana haswa kwa binadamu. Akiona unatembea na mikono imening'inia, yeye anajua mikono itadondoka chini saa yoyote aile. so anajipa moyo anakufuatilia nyuma akinyatia mdogo mdogo wala hana presha.

Navokuona mkuu na unavyonyajia mali ya wenzako!!!! mwishowe unapoteza muda, mali na kujipa stress ukisubiria mkono na wewe udondoke. Amka aisee au ije kuwa kama ile hadithi ya ndovu aliyeponzwa na pembe zake.

Hlw guys wakubwa shikamooni wadogo mambo vp well mm ni kijana wa kiume npo chuo sasa kuna msichana nilikua nampenda since naingia pale chuoni npo nae class moja but ilikua vigumu kumwambia kutokana na nilihisi kama hawezi kunielewa hivi so nilijaribu kuwaambia washikaji juu ya hili wakaniambia ww mfuate mweleze ukweli wa moyoni so baadae ya ushauri huo nikaamua kumfuata yule binti na nikamuomba namba ya simu tukawa tunatalk siku moja night nikafunguka ya moyoni binti akawa ananiambia nimechelewa sana kuwa nae coz tayari ana mtu wke so nikaamua niendelee kumkazia kila siku mpaka yule binti akanikubalia lile ombi lngu hapo bdo tupo chuo sasa tulipofunga chuo kila mtu akaenda kwao sasa tokea haende kwao yule binti amekuwa akikaa kimyaaa sioni simu yke wala hata msg yaani anajifanya yupo busy ila kuhusu kula tunda lke bado sijala sasa waungwana kwa hili nikishakula tunda lake niendelee kuwa nae au niachane nae maana naona binti mwenyewe stress tupu naombeni mnishauri
 
Akija chuoni tena we kula tunda halafu mchore tatoo yako kwenye ta.ko....
 
Hahahaaaa.. Kama nakuona wakati unaendelea kumsubiria baada kuchezea cha Mbavu.

FISI (mnyama) ana tabia ya uvumilivu sana haswa kwa binadamu. Akiona unatembea na mikono imening'inia, yeye anajua mikono itadondoka chini saa yoyote aile. so anajipa moyo anakufuatilia nyuma akinyatia mdogo mdogo wala hana presha.

Navokuona mkuu na unavyonyajia mali ya wenzako!!!! mwishowe unapoteza muda, mali na kujipa stress ukisubiria mkono na wewe udondoke. Amka aisee au ije kuwa kama ile hadithi ya ndovu aliyeponzwa na pembe zake.

Tized umenikumbusha mbali hahahaha..nowma sana
 
Last edited by a moderator:
Washikaji na mimi huyu hapa King'asti! Nilimsalandia siku nyingi sana ikawa ananizingua ila siku hizi amenikubalia japo tunda hajanipatia. Sasa siku hizi yupo kimya kweli, sasa jamani nauliza akinipa nile tunda nimbwage au vipi wakuu, naombeni mnishauri!
Weeh! Usile tunda lake manake na yeye atataka kula tunda lako. Kama mchoyo wewe kuwa mchoyo zaidi yake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom