GE2025 Je, kuzuia uchaguzi ni kosa la jinai au siyo kosa?

GE2025 Je, kuzuia uchaguzi ni kosa la jinai au siyo kosa?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Labda tujue, huo uchaguzi unazuiwa kisheria? Kuna kesi mahakamani ya kuzuia uchaguzi huo usifanyike? Kama hakuna kesi mahakamani ya kuzuia huo uchaguzi usifanyike hao wanaozuia wataweza? wana nguvu gani?
 
Wanaoandamana pia wana haki kikatiba kila mtu siku hiyo anatumia haki yake mbona haki ya kupiga kura ndo inaongelewa haki ya maandamano hamna?
 
Kujibu hili swali ni matumizi mabaya ya akili, watu wamekaa maofisini wanatingisha vitambi vyao, wanaendesha maigizo tu kama kuendesha movie ndani ya runinga, wasituchoshe tusiwachoshe, tusichoshane.
 
Back
Top Bottom