Je kutongoza kwa mwanaume ni jadi?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Kuna huu mjadala umejitokeza kati ya couples eti ni kweli kuwa eti kwa sie wanaume ni jadi kutongoza hivyo basi hata tukioa hatuachi kutongoza? Sasa wanandoa wa kike wanahoji kwa mwanaume aliooa anatongoza kwa lengo gani? Ndio maana wanawake kwa wengi wanaume wote ni sawa na lazima mwanadoa wa kiume amsaliliti mkewe kwa namna moja au nyingine...
 
kiongozi kumbuka kuwa hakuna mtongozaji pasipo mtongozwaji!
 
kiongozi kumbuka kuwa bila mtongozaji kusingekuwepo watongozwaji! win - win phenomenon
 
:confused2: Mnaongelea nini vile......................maana hapa juu naona shutuma zinarushwa
 
Kuna huu mjadala umejitokeza kati ya couples eti ni kweli kuwa eti kwa sie wanaume ni jadi kutongoza hivyo basi hata tukioa hatuachi kutongoza? Sasa wanandoa wa kike wanahoji kwa mwanaume aliooa anatongoza kwa lengo gani? Ndio maana wanawake kwa wengi wanaume wote ni sawa na lazima mwanadoa wa kiume amsaliliti mkewe kwa namna moja au nyingine...

Hatutakiwi kuacha, bali kuendelea kuwatongoza wake zetu ili kudumisha penzi.
 
MTONGOZWAJI NAE ASIPOTONGOZWA LAZIMA AKAJIPANGE UPYA..SALOON,MAVAZI..KUSOMA VIJARIDA VYA MBINU MPYAMPYA..TAMTHILIA:smile-big:
 
Kumbe dadazetu ndio wanaotuponza maana wanataka kutongozwa

sasa mfunyukuzi unafikiri yale mavazi yao, deko zao na kule kujishaua kunaashiria nini?ni mkao wa kutongoza ule!na asipotokea kutongozwa for even 2 days, lazima atachanganyikiwa!hata wake za watu kiasili huwa wanatongozwa kwa sana tu mabarabarani!
 
Back
Top Bottom