Je kura zitapigwa October 2015?

Je kura zitapigwa October 2015?

Fue Fue

Senior Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
107
Reaction score
128
Kuna kila dalili za uchaguzi kutofanyika mwaka huu mwezi October ya tarehe 25 kama ilivyoainishwa kwenye katiba ya JMT.

Je kwa makusudi haya ya Tume ya taifa ya uchaguzi kujiingiza kwenye project ambayo walijua wazi hawaiwezekani kuisha kwa muda na vifaa, kweli taifa litakuwaje? Kwanini tunataka kuingiza taifa kwenye ghasia zisizo na maana?

Serikali ya CCM imekuwa ikiogopa sana uchaguzi huu kwani inaamini itashindwa vibaya na kujikita kwenye mbinu za kutaka kuharibu uchaguzi.

Mahesabu yote ynakataa kufanyika uchaguzi mwaka huu, kasi ya kuandikisha wapiga kura, maandalizi ya uchauzi hakuna na zimebaki siku 72 tu mpaka siku ya kampeni kuanza.

Je Kura october zitapigwa? na ikishindikana nini kitatokea? Je nani atakubali JK aongeze hata masaa mawili ikulu??

Muda wa JK Ukiisha lazima atoke, lazima aondoke ni October 25, 2015!
 
NEC%2BTanzania%2Bby%2BFEDE.jpg
 
October hamna uchaguzi, another Nkurunzinza is coming sasa sijui tutakuwa wakimbizi wa nani?
 
Hawa wanaweka kipaumbele kwenye kura ya maoni ya katiba mpya. Hiyo kwetu si muhimu kwa sasa. Tunataka Uchaguzi mkuu kwanza ambao unatambulika Ki-katiba, hii ya Kura ya maoni ni mradi wa CCM tu, na tarehe yake yaweza badilishwa wakati wowote.
 
Back
Top Bottom