Mbona kuna mwingine anaoa kila kukicha, utasikia kaenda Mwanza kufunga ndoa kinyemela, mara sijui kaoa mke mwarabu, yaani kila siku rumaz za mshikaji kuoa zinaongezeka.
Lakini afadhali siku hizi zamani vidada mbona vilikuwa vinakoma!!
mbona kuna mwingine anaoa kila kukicha, utasikia kaenda mwanza kufunga ndoa kinyemela, mara sijui kaoa mke mwarabu, yaani kila siku rumaz za mshikaji kuoa zinaongezeka.
Lakini afadhali siku hizi zamani vidada mbona vilikuwa vinakoma!!
hivi kuoa wake wengi ni uwezo wa kifedha? na siyo mahitaji ya mwili? ukitoa hela ya chakula na nguo ili hali umtimizii mahitaji ya unyumba hauoni unatunza wake wa wengine??
Mbona naona linapingana na nature?
Na je kwa nini wanawake hawaolewi na wanaume wengi??? maana wako wenye fedha!!