Je kuoa ni maendeleo?

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,396
Reaction score
9,264
Habari wakuu,

"Yule jamaa ameendelea, ameo siku hizi"

Je kuoa ni maendeleo?
 
Maendeleo ni neno linalotokana na KU-"ENDELEA" Likiwa na maana "kwenda mbele zaidi" hata kuzaliwa ni maendeleo, yaani umeendelea kutoka tumboni na kuja Duniani. Kwa kifupi maendeleo ni kutoka hatua moja kwenda nyingine bora zaidi, kiuchumi au kijamii. Kwa mtazamo wangu Bra-joe, kuoa ni maendele ya kijamii.
 
Bra-joe kaelezea vyema..naunga mkono jibu lake!
 
Last edited by a moderator:
Inategemea na mtu uliye oa au kuolewa nae no clear definition it's very subjective
 
Kwangu mm kupata mtoto ndio maendeleo maana mnaeza mkaoana na mkaachana bila chochote.
 
Jamaa anamaanisha economically yaani kama ulikuwa hujaoa na ukaoa maisha yatabadilika kama ulikukuta unalala sakafuni baadae utapata Kitanda yaani mwanamke no chachu ya kuwa na maendelea kiuchumi na cyo vinginevyo kama wala hotel utaachana na hiyo tabia utakula nyumbani.na kuoa cyo maendeleo ni hali ya kuungana kuwa mwili mmoja na kusaidia kimaisha.
 
I'll be so damn proud of myself siku naoa, itakuwa na maana kubwa sana kwangu kama mwanadamu na mwanaume. And my life will never be the same after that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…