Je, kuna watu wanaishi mbele ya muda?

Je, kuna watu wanaishi mbele ya muda?

Wapo Wafu ambao wapo Mbele Yetu,
Lakini Wapo Wafu ambao wapo Nyuma Yetu.

Lakini Makaburini SI sehemu salama na Nzuri coz Ni rahisi Sana
Kuingiliwa na Maroho Machafu

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kuwatembelea sio mbaya na kuwapa salaam
Ingawa usiku sio vizuri kwenda huko
Maana usiku mambo mengi sana yanajitokeza
Asante kwa ukumbusho

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Lakini kuwatembelea sio mbaya na kuwapa salaam
Ingawa usiku sio vizuri kwenda huko
Maana usiku mambo mengi sana yanajitokeza
Asante kwa ukumbusho

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Naomba nikuambie kitu Broo Sniper

Wafu hawapo Makaburini.
Kama mfu yupo Makaburini Basi Hapo hakufa kifo Cha wakati wake.

lingine ukisema unaenda kuwatembelea Wafu Ni lazima utataka kuonana nao, Sasa unaweza kwenda kumtembelea mtu pasipo kumuona?!

Ili uone Nafsi za Wafu,yakupaswa
Jiicho lako la Rohoni liwe Active.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Time travel is a hoax! Na wanasayansi nguli wawili walishapingana na hili
1.ALBERT EINSTEIN
2.NIKOLA TESLA
Walishapinga hilo kwa mifano hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
Time Travel Ni kitu invisible with Naked eye na science huwa inataka prove/Evidence.

lakini Haina maana kuwa Ni Haipo

Lakini pia sometimes propaganda upikwa ili kuzuia Kundi fulani lisijitambue/kuelewa Lolote
Kwa matakwa Ya Watu Fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naungana na mdau mmoja hapo juu, time travelling is a hoax and can't be proved scientifically or unscientifically either... usichanganye time travelling na astral projection ni vitu viwili tofauti... Watu wanafungua viwebsite vyao huko nje na kuwadaka waongo wawili watatu wawadanganye kuhusu time travelling na pia kuandika vitabu vya aina hiyo sababu mwanadamu ameumbwa na tamaa ya miujiza na kuona vitu extra ordinary basi mnajazwa mkenge... Binafsi i don't believe mambo yasiyoweza kuwa proved na sio lazima yawe proved scientifically
 
Naomba nikuambie kitu Broo Sniper

Wafu hawapo Makaburini.
Kama mfu yupo Makaburini Basi Hapo hakufa kifo Cha wakati wake.

lingine ukisema unaenda kuwatembelea Wafu Ni lazima utataka kuonana nao, Sasa unaweza kwenda kumtembelea mtu pasipo kumuona?!

Ili uone Nafsi za Wafu,yakupaswa
Jiicho lako la Rohoni liwe Active.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa sawa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kuna Mtoto alikuwa anaitwa Cameron alikuwa anaishi Scotland
Ukimfuatilia utashangaa sana " The boy who lived before"
Na wazazi walitengeneza hela za uhakika kwa story ya huyo Mtoto na mataifa mengi wakiwemo wataalamu wengi walitoa maoni yao.
Huyo Mtoto alikuwa na miaka mitano alipoanza kuwakana wazazi wake na kusema kuwa alizaliwa sehemu tofauti na hapo na alikuwa na ndugu sita, baba yake mzazi alifariki kwenye ajali
Wazazi walishangaa sana kwa jinsi anavyoelezea nyumba yao waliokuwa wanaishi
Ilikuwa ipo ufukweni mwa bahari na ni nyeupe
Basi endelea kumsoma the boy who lived before

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hii time travel huwa Ni Kama prophetically issue.
lakini ki sayansi ndiyo huwa tunaita hivyo.

Ili mtu aweze ku experience hicho kitu
Yampasa
-Audanganye mwili wake,
katika kuudanganya mwili huwa either
automatically au unautomatically

Tukija kusema automatically hapa mwili sometimes u respond kuwa haufanyi kazi/umepumzishwa na kipindi hicho Nafsi au roho ya mtu huwa inatoka na kuzunguka.
Sasa kwa vile Yule mtu alikuwa ametoka automatically Hapo Ufahamu wake utaanza ku sense na kuelewa each and everything.
lakini ili kufanya hidden vision,fasta u bongo uta respond na mwili ku take action na mtu atakuwa katika normally state japo atakuwa anajishangaa na kujiuliza alikuwa wapi/alikuwa ana fanya nn!!

Lakini katika upande wa Unautomatically hii huwa inatokea kwa kuamsha baadhi ya milango na fahamu au kupitia ku Unlock some code ambazo Zina control our future, present and past. kupitia hivyo mtu huwezo kufikia na kuona mbele
hii njia hutumika Zaid na watu au vikundi vyenye kuitawala Dunia
lakini pia baadhi ya taasisi za kijasusi mfano
CIA,KGB NA MOSSAD Huwa wana tumia hii njia.

Ila hii njia huwa Ni ya HATARI zaidi
Nitaielezeaga..

Tukija katika upande wa Pili
Time travel huwa ki,Imani ndiyo so called Prophetically (UNABII/UTABIRI)
Sasa inshu ya unabii huwa ya Aina nyingi achana na Hawa MATAPELI.

mfano Moja ya watu kwenye vitabu vya dini ambao wali experience Inshu ya Time travel walikuwa Ni

-Daniel
Huyu aliweza ku experience Time travel na alifanikiwa kuona Mambo yatakayoikuta Dunia kwa miaka efu 50 mbele kwa maana Nyingine alienda umbali wa miaka ELFU 50 na zaidi tokea alipo.
na Kuna baadhi ya Mambo ambayo aliyaona yapo kipindi Hiki na mengine yataikuta Dunia miaka ya 2090

-Yohana mwanafunzi wa Yesu
Huyu naye akiwa katika kisiwa Ali experience Hali hiyo kwa kuona Mambo ambayo kwa kipindi kile hayakuwa na kueleweka lakini baada ya miaka 1000 mbele yakaanza kutokea na mengine yataikuta Dunia
hususani miaka ya 2025

-Isaya
Huyu alifanikiwa KUONA Dunia itakavyokuwa miaka 6000 baada ya wakati wake,na mpaka baada ya mwaka 1 B.K Safari na maono yake yakatimia hususani Uwepo/kuzaliwa kwa Yesu.lakini pia hata mwaka 1961 kuhusu Tz Aliona pia na mengine yanatarajiwa kutokea mwaka 2024

-Enocho
Hahaha huyu jamaa kwanza alifanikiwa kwenda Before and after
kwanza kabisa aliweza kusafiri na kuona Past ya Mambo ya kale kabla yake na Future ya baada yake
Moja ya travel yake matata Ni kuwaona na kutambua uwepo wa Vita na Uhasi Mbinguni na pia Future ya baadae

-Na wengineo
Hawa mtawajazia.

Tukija katika key ya msingi Hawa wote nilio wa mention the way walivyokuwa Wanaona/Wana travel ilikuwa Ni tofauti kubwa na Sasa.

Mengi nitagusia hapa chini

Sent using Jamii Forums mobile app
umesema vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutulie tu tuache kiherehere mambo ya mbele yanakuhusu nini watati ya sasa yanakushinda?
 
  • Thanks
Reactions: a45
naungana na mdau mmoja hapo juu, time travelling is a hoax and can't be proved scientifically or unscientifically either... usichanganye time travelling na astral projection ni vitu viwili tofauti... Watu wanafungua viwebsite vyao huko nje na kuwadaka waongo wawili watatu wawadanganye kuhusu time travelling na pia kuandika vitabu vya aina hiyo sababu mwanadamu ameumbwa na tamaa ya miujiza na kuona vitu extra ordinary basi mnajazwa mkenge... Binafsi i don't believe mambo yasiyoweza kuwa proved na sio lazima yawe proved scientifically
Unaweza kuprove uwepo wa Mungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
YAAAH Isaya Ali Travel na kuona Hadi Hali Ya Tz hususani Mwaka 1961
Lakini pia,
Kuna na Mengi yapo Yataonekana

Ukienda kwenye Original Bible ya ki Ethiopian Taifa la Tz limegusiwa Maeneo Mengi Sana.
Ni Vile bible huwa Ina Code language Zake Ni Ngumu sometime kuzi Unlock

Tukija kwenye Daniel 7
Huwezi Amini zile Dola 4 Moja wapo Ita Rise Hapa Hapa Tz

Natamani Ku share Mengi Humu

Sent using Jamii Forums mobile app
Share tu ndugu, wengi wanapenda kufahamu zaidi nikiwemo mimi.
 
Back
Top Bottom