Je kuna wanajeshi jamiiforums?

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
Wana JF kama kuna wana jeshi huma ndani tunaomba mtusaidie, ni kweli kuna mazoezi kama haya!
 
Mimi sio mjeda ila mazoezi hayo ni madogo sana au haujaona ya kuvunja tofali kwa kichwa?
 
mlipofikia patamu mi napita unachezea jeshi la wananch kura bure kurara bure!utakura kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…