Duh kaka pole sana mungu atakusaidia ila kuhusu pep unapima kwanza halafu unakaa baada ya kumaliza pep unapima tena baada ya miezi mi3 na mpaka itimie si6 apo utkuwa umekmilisha na kuwa sawa na afya yako pia vilevile kama anatumia dawa vizuri na bila kuacha na akawa RNA VIRAL LOAD UNDETECTABLE yaani virus havionekani kwenye damu basi na anakuwa negligible and close to zero anakuwa hawezi kuambukiza si your chance to get the virus is extremely low.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.