Mimi nina marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike. Yawezekana wananiwazia kunikula siku moja, nawaheshimu tunataniana tunawasiliana fresh na wala hakuna hata mmoja amewahi kunikula zaidi ya Dadii.
Urafiki uko akilini na wewe unavyompokea mawazo yake ( rafiki wa jinsia tofauti), sijasomea saikolojia ila nikiona rafiki amedindisha namtania hadi inalala na nakuwa muwazi sana kwao wala sifichi ukali wa maneno.
Wananiambiaga nimedata, chizi, nakula bangi, hata ofisini wananiambiaga nalipuliza....ila ndo niko hivo, ni hulka yangu.
Na huwa nawachokoza sana tuu na maswali yangu ya kiuchokozi.
Kwangu mie urafiki upo ssna tuu maana nauishi na hakuna kukulana.
Kasinde Platinum Matata.