ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,573
- 130,908
Kwani wewe ni just a friend? Acha utani...
Hahahaha..!
Kwani wewe ni just a friend? Acha utani...
Mimi siwezi kabsa kuwa ufariki na msichana, wengi huwanga naishia kuwatokea tu,wakikataa urafiki unaishia pale pale!!
Ushamba huu unaitwa
Ila mkiwa marafiki kuna siku mtakuja kulana vzr!!! hadi kila mtu atahoji kwnn tumecheleweshana?
Me kuna mdada alikuwa bonge la best,siku hiyo mpaka tunataka kutawanyika kwenda kulala tu marafiki bado,HAMADI kautani twende ukalale kwng yani yy aliniambia hivo ndo kakaharibu tukalana sn.
Nilipofika kwa bed nililala,mara ooh unajua ww mdogo wng,mara hauniwezi.Weee asubuhi alikuwa anaogopa kwenda haja ndogo misuguo!!!!
Ndio inawezekana wote kama mko makini. Ila mmoja kati yenu au wote msipokuwa mtajila
Urafiki upo ila inategemea na wewe utajiwekaje na hao marafiki, mimi marafiki zangu kwa 99% ni ma men na hawaleti mambo za ajabu
jaman acheni tu hao wanaojiita marafiki ndo chanzo cha ugomvi kati yangu na mpenzi wangu!sina hata hamu nao
Hata mimi marafiki zangu ni men ila huyu kawa wa aina yake