Hodi humu jamani
Tusaidiane inawezekana mwanamke/ msichana akawa na urafiki na mwanaume/ mvulana wakawa just friends na wasiwe na mahusiano ya kimapenzi?
Nimeuliza hivyo kwa sababu yamenikuta.
Nilikuwa na rafiki tu charting, ila sasa anaelekea sipo hata msg zake zimebadirika mfano mvua ikinyesha atatuma sms eti " vipi hali ya mvua unaionaje, nije" mh Sasa rafiki ukija na hii mvua itakuwaje?
Ni hayo wadau tusaidiane ili siku nyingine nisiingie kichwa kichwa eti MY FRIEND