mtambuzi8
Member
- Aug 11, 2019
- 18
- 1
Mkurugenzi Wa TCU amedai kuwa asilimia 70 ya wahitim kidato cha sita kuna uwezekano mkubwa Wa kushindwa kupangiwa vyuo kutoka na taarifa zao kuwa kinyume na zile za maombi ya mkopo,haidha ameongeza kuwa TCU inatoa nafasi ya siku tati (3) kuanzia sasa kila moja kwenda kuhakikisha taarifa zake mapema,kaongeza pia kuwa ni lazima upewe copy inayonesha taarifa zako kutoka kila chuo ulichoomba na kwa vyuo ambavyo vilikuwa havitoi sasa vinatoa copy izo,amesema wataanza udali Wa kupangia wanachuo vyuo ili hata wale Wa jkt wamalize mambo yao..ndugu zangu tuangalie mapema taarifa zetu isije kutugharim tena