Tetesi: je kuna ukweli wowote kuhusu ii taarifa kua imetoka tcu maan imesambaa

mtambuzi8

Member
Aug 11, 2019
18
1
Mkurugenzi Wa TCU amedai kuwa asilimia 70 ya wahitim kidato cha sita kuna uwezekano mkubwa Wa kushindwa kupangiwa vyuo kutoka na taarifa zao kuwa kinyume na zile za maombi ya mkopo,haidha ameongeza kuwa TCU inatoa nafasi ya siku tati (3) kuanzia sasa kila moja kwenda kuhakikisha taarifa zake mapema,kaongeza pia kuwa ni lazima upewe copy inayonesha taarifa zako kutoka kila chuo ulichoomba na kwa vyuo ambavyo vilikuwa havitoi sasa vinatoa copy izo,amesema wataanza udali Wa kupangia wanachuo vyuo ili hata wale Wa jkt wamalize mambo yao..ndugu zangu tuangalie mapema taarifa zetu isije kutugharim tena
 
Mbona mnajipa presha nyie watoto. Hivi inawezekanaje taarifa ulizojaza wakati unaomba mkopo zisifanane na zile za vyuo ikiwa umetumia index namba zile zile. Acheni utoto subirini muda ufike mwende chuo mkapambane.
 
ivi kuuliza siku izi ni kujipa presha na ukiuliza kitu usichokua na uhakika ni utoto
ila kumbuka taarifa zinazoitajika sio index namba tu
kuna watu mkopo wamekosea kujaza lazima watakua na hofu juu ya ilo pia

lkn asante kwa mchango wako
 
Huwa wanatoa muda wa marekebisho. Kuwa na subira
 
ivi kuuliza siku izi ni kujipa presha na ukiuliza kitu usichokua na uhakika ni utoto
ila kumbuka taarifa zinazoitajika sio index namba tu
kuna watu mkopo wamekosea kujaza lazima watakua na hofu juu ya ilo pia

lkn asante kwa mchango wako
Kama taarifa zipi zilizokosewa kujazwa ambazo unaziskia ?
 
Mkurugenzi Wa TCU amedai kuwa asilimia 70 ya wahitim kidato cha sita kuna uwezekano mkubwa Wa kushindwa kupangiwa vyuo kutoka na taarifa zao kuwa kinyume na zile za maombi ya mkopo,haidha ameongeza kuwa TCU inatoa nafasi ya siku tati (3) kuanzia sasa kila moja kwenda kuhakikisha taarifa zake mapema,kaongeza pia kuwa ni lazima upewe copy inayonesha taarifa zako kutoka kila chuo ulichoomba na kwa vyuo ambavyo vilikuwa havitoi sasa vinatoa copy izo,amesema wataanza udali Wa kupangia wanachuo vyuo ili hata wale Wa jkt wamalize mambo yao..ndugu zangu tuangalie mapema taarifa zetu isije kutugharim tena
Wakati wa kusubili majina ya mkopo na selection za vyuo taarifa huwa zinazagaa sana ambazo ukizifuatilia huwa hazina mashiko lengo ni kuwatoa wahusika katika hali ya kawaida kwasababu ni kipindi ambacho wengi wao huwa wanataka kujua kwa hamu sana kila linalotokea hivyo utakuta roho ziko juu juu.
Ushauri wangu kwa wahusika(waombaji) kuweni makini sana na watu msiowajuwa wanaosambaza taarifa ambazo kwenye vyombo vya habari hazijatangazwa, kuweni makini na ulaghai wa matapeli.
 
Mkurugenzi Wa TCU amedai kuwa asilimia 70 ya wahitim kidato cha sita kuna uwezekano mkubwa Wa kushindwa kupangiwa vyuo kutoka na taarifa zao kuwa kinyume na zile za maombi ya mkopo,haidha ameongeza kuwa TCU inatoa nafasi ya siku tati (3) kuanzia sasa kila moja kwenda kuhakikisha taarifa zake mapema,kaongeza pia kuwa ni lazima upewe copy inayonesha taarifa zako kutoka kila chuo ulichoomba na kwa vyuo ambavyo vilikuwa havitoi sasa vinatoa copy izo,amesema wataanza udali Wa kupangia wanachuo vyuo ili hata wale Wa jkt wamalize mambo yao..ndugu zangu tuangalie mapema taarifa zetu isije kutugharim tena
Hili jambo ni gumu, yaani haliwezekani
 
Kama taarifa zipi zilizokosewa kujazwa ambazo unaziskia ?
mfano mdogo ni kwenye makazi hasa mitaa na kata wengi wanatumia majina maarufu ya mitaa badalaa ya yale husika sijui utakua umenielewa au unataka ufafanuzi zaidi
 
Back
Top Bottom