kuna sehemu nimeona kwamba kama umetoka sex then ukapata virusi vya ukimwi dalili zitakazojitokeza baada ya siku ya kwanza virusi kuingia katika mwili wako utaanza kujikuna sana katika sehemu za mwili wako espially mapaja,homa na mwili kutoa jasho sana.kwa yeyote ambaye ana ufahamu zaid anaweza kutujuza