Natamani kweli kukuona kwa halisi kabisa weye mwanamke. Thread zako zinahusu mambo ya dushe dushe sana, vip?? Lakini kwa utafiti wangu wa kiloko tu nimewahi ona kuwa wamama wa aina yako wala sio wapenzi saana wa mambo yaleee. Huwa mnatosheka tu kwa mawazo yaleee.
Swali lako ni hivi; Kuvaa boxer ya kubana na haswa wanaume ambao bado wana kiu ya kuzalisha mitamba hakufai kwani huunguza mbegu zake. Angalia wakati wa baridi, kengele hurudi juu kabisa na ngozi kukunjamana kabisa. Hapa inazilinda mbegu zisiharibike kwa baridi. Wakati wa joto, kengele hushuka utadhani kamba inataka kukatika. Hii huruhusu, hewa ipoozeshe mbege zisiharibike.
Hivyo kuvaa boxer mlepo (isobana) husaidia movement ya kengele zileee kuwa huru. Lakini, sishauri kuvaa suruali tupu bila boxer. No, sio hygienic. Mengi yaweza kukupata, mfano kubambia kwenye daladala au ukipatwa na wazo kuu ukiwa pale ofisini unavyo waona kina dada waliobana etc. Utaaibika sana.
Nashukuru siku hizi kumekuja code ya mavazi ya ofisini, wengi tulikuwa tunaumia saana kiroho