Je, kuna ukweli kuwa mwanaume kuvaa chupi au kutahiriwa akiwa mchanga hudumaza uume?

amanda cute

JF-Expert Member
Oct 27, 2016
244
500
Poleni kwa majukumu ya kila siku,

Huwa napenda kujifunza mengi pia humu JF ila hili nimelikuta mahali nikasema si mbaya nikashare na nyie kuna ma shostee walio kua wanadai kuwa kwa wale wanaume waliotahiriwa wakiwa wadogo huwa ndiyo wanaongoza kuwa na vibamia hawa ukikutana nao faragha ukikohoa tuu kinatoka hawa wamechangia sana kutowaridhisha wenza wao. Mimi binafsi mwanaume wa kisoseji hapana jamani ni karaha mno. Hivi hii inaukweli wowote kuwa waliotahiriwa wadogo wana vivais?

Pili inasemekana mwanaume kuvaa sana chupi hii inapelekea uume kukuchika na kukosa afya tofauti na wale wenzetu wamasai ambao hawavai ata boxa hawa wanakua na dushe iliyosimama na iliyoshiba? Tunaomba tupeane ujuzi kidogo apa wale ma bi shostee dushe kibamia au iliyoshiba, na iliyopinda, au iliyonyooka ipi ya ukweli? Hivi kuna mwanamke anapenda kibamia? Na tuwashauri vipi hawa wanaume?
 

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
32,370
2,000
Kitu gani kinasababisha uume kukua? Je, uzalishwaji wa cells kwenye uume uliyokwisha tahiriwa na ambao haujatahiriwa utotoni ni sawa? Uume uliyokwisha tahiriwa ukuaji wake ni sawa na ambao haujatahiriwa?

Job true true
 

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
14,927
2,000
Hilo La Kuvaa Vitu Vinavyo Kubana Sehem Za Siri kama Chup Lina Ukweri Ndugu Try Kuvaa Bukta Isiyo Bama Seheme Zako Za Siri

Hata Ukiwa Home Vaa Mavaz Ya Kujiachia Sio Ya Kubana bana

Nasikia Kiu

Waiter Zungusha Tena
 

Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
8,299
2,000
Kwa maelfu ya miaka wayahudi na waarabu wanatahiriwa wakiwa watoto chini ya umri wa mwezi mmoja na wanazo ndonga za nguvu tu. Hatujawahi kusikia wanawake wa kiyahudi na wa kiarabu wakilalamika wanaume wao wana vibamia kama ninyi wanawake wabantu akina Mrs.Mandingo. Hizo ni mythology na hoax zilizokosa tafiti. Nenda hospital kwa sasa kuna vifaa kama pete za kuvalisha kidushe cha mtoto mchanga na kumtahili ambavyo vinatengenezwa USA. Wewe kwa akili zako USA wanaweza kuruhusu hiyo kitu itengenezwe ikaharibu watu? Fanya tafiti ndogo google kisha lete majibu au nenda hospital kamuulize Doctor.
 

Ngushi

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
9,097
2,000
Hilo la kuvaa chupi inayobana ni kweli huwa inasababisha uume kupinda
 

Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
8,299
2,000
Ukiona kitu ktk biblia au Korani(msahafu) hakijakatazwa ujue hicho hakina madhara. Na ukiona kimekatazwa ujue kina madhara tu hata ukibishia. Tohara kwa wanaume tena wakiwa wadogo ndio afya njema. Vile vitabu au hizi dini kama zilibuniwa tu na binadamu na ni za uongo basi lazima ukubali hao wazee waliobuni walitulia sanaaa. Miaka nenda rudi maarifa yaliyomo ktk hivyo vitabu hayajapoteza maana au faida zake kwa jamii. Ona jinsi katiba zetu, sheria zetu na vitabu vyetu vinavyopitwa na wakati wakati havijatimiza miaka 150!!
 

mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,418
2,000
Natamani kweli kukuona kwa halisi kabisa weye mwanamke. Thread zako zinahusu mambo ya dushe dushe sana, vip?? Lakini kwa utafiti wangu wa kiloko tu nimewahi ona kuwa wamama wa aina yako wala sio wapenzi saana wa mambo yaleee. Huwa mnatosheka tu kwa mawazo yaleee.
Swali lako ni hivi; Kuvaa boxer ya kubana na haswa wanaume ambao bado wana kiu ya kuzalisha mitamba hakufai kwani huunguza mbegu zake. Angalia wakati wa baridi, kengele hurudi juu kabisa na ngozi kukunjamana kabisa. Hapa inazilinda mbegu zisiharibike kwa baridi. Wakati wa joto, kengele hushuka utadhani kamba inataka kukatika. Hii huruhusu, hewa ipoozeshe mbege zisiharibike.
Hivyo kuvaa boxer mlepo (isobana) husaidia movement ya kengele zileee kuwa huru. Lakini, sishauri kuvaa suruali tupu bila boxer. No, sio hygienic. Mengi yaweza kukupata, mfano kubambia kwenye daladala au ukipatwa na wazo kuu ukiwa pale ofisini unavyo waona kina dada waliobana etc. Utaaibika sana.
Nashukuru siku hizi kumekuja code ya mavazi ya ofisini, wengi tulikuwa tunaumia saana kiroho
 

suley02

Senior Member
Jun 16, 2017
108
225
duuu inawezekana ila sio kuwa kibamia labda kubadirisha shepu ya dushe kupinda
Kupinda na ufupi na maumbile ya kiasili..kama unavoona pua na viwalaza..kama mzee wako ana uwalaza kuna aslimia 70% ya kupata watoto wawili wenye uwalaza. Na hiyo ni vile vile.
 

geek jo

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
1,136
2,000
Poleni kwa majukumu ya kila siku ..huwa napenda kujifunza mengi pia humu jf ila hili nimelikuta mahali nikasema si mbaya nikashare na nyie kuna ma shostee walio kua wanadai kua kwa wale wanaume waliotahiriwa wakiwa wadogo huwa ndiyo wanaongoza kuwa na vibamia hawa ukikutana nao faragha ukikohoa tuu kinatoka hawa wamechangia sana kutowaridhisha wenza wao... Mimi binafsi mwanaume wa kisoseji apana jamani ni karaha mno.. Hivi hii inaukweli wowote kua waliotahiriwa wadogo wana vivais ?
Pili inasemekana mwanaume kuvaa sana chupi hii inapelekea uume kukuchika na kukosa afya tofauti na wale wenzetu wamasai ambao hawavai ata boxa hawa wanakua na dushe iliyosimama na iliyoshiba ? tunaomba tupeane ujuzi kidogo apa wale ma bi shostee dushe kibamia au iliyoshiba, na iliyopinda,au iliyonyooka ipi ya ukweli ? Hivi kuna mwanamke anapenda kibamia ? na tuwashauri vipi hawa wanaume ?
Halafu nyie mnaojifanya mnapenda mipingo.. wakati mkiwa faragha mkichomekewa tu unaanza kutoa chozii... huku mnajifanya hampendi vibamia...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom