Je, kuna uhusiano kati ya maumbile ya kiume kuwa madogo/ membamba na ugonjwa wa ngiri?

Cachondo

Senior Member
May 6, 2019
144
139
Habar za wakati huu jf doctors, niende moja kwa moja kwenye mada. Nimewasikia wataalam wengi wa tiba asilia wakihusisha ugonjwa wa ngiri na kusinyaa au kumezwa kwa maumbile ya kiume.

Watu wengi wanaoenda kutafuta tiba ya maradhi yanayohusiana na jinsi ya kiume wamekutana sana na jambo hilo, wataalam naomba mtufute ujinga
 
King Kong lll akiwa na hela wanawake wanamwita handsome, nawe ukiwa na hela kibamia kitaitwa mwiko wa mamantilie.


Lunatic
 
Back
Top Bottom