Je kuna tiba ya mapenzi?

Je kuna tiba ya mapenzi?

Ximo

Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
6
Reaction score
2
Naomba Ushauri wenu, Mpenzi wangu ameniacha na nimeumia sana sijui nifanye je?
 
Tafuta mwingine maana kama amekuacha, hakupendi huyo....tafuta anayekupenda
 
Tiba ya mapenzi ni kama tiba ya ukimwi
dawa ni kufata mashart tu
 
Kwani mapenzi ni ugonjwa hadi yawe na tiba?

Mapenzi ni ugonjwa wa wenye shibe wale ambao hawana uhakika wa kula daily hawajui matatizo ya Mapenzi...they have to fight for food first daily
 
dawa ya pmapenzi ni mda tu with time utakuwa poa
 
Sali Mungu akupunguzie maumivu na uendelee na maisha yako na akupe mwelekeo aliokupangia. Labda huyo alikuwa sio wako. Pole utamsahau, usimlilie au kumsumbua na simu mwache aende.
 
Mapenzi si ugonjwa. Na kama ni ugonjwa, ni wa kijitakia. Daktari kwa maana hiyo ni wewe mwenyewe!
 
dawa ya mapenzi ni kufanya mapenzi ila...mind you yawe ni mapenzi salama
 
Ukitaka usiumie tena kwny game la mapenzi kuwa nao zaidi hata ukiachwa hutoumia kabisa.ila kwa kujifanya unampenda na kuwa mwaminifu kwake ndo madhara yake hayo..shukuru mungu hujajiua au kuua mana mapenzi yanaua sana
 
Maumivu ya mapenzi hayapunguzwi kwa kusali mzurimie.we tafuta mwngne wa kuziba pengo haraka ....la cvyo hata ukisala ucku na mchana maumivu yako pale pale
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom