Je kuna tatizo hapa

Wingu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,318
Reaction score
409
Laptop toshiba imeandikwa approved for sales in Africa.Mtu kaumizwa au laa
 
haja. umizwa kwani iko poa wa matumizi ndani ya afrika, kila bidhaa hutengenezwa kea ku target soko fulani
 
mkuu umekosea jukwaa nenda jukwaa la mapenzi na mahusiano
 

kweli ugeni noma kapesti huu uzi wako kwenye jukwaa/forum ya mapenzi/mahusiano/urafiki ''mmu'' utakuta wenyeji wako... Na uingie jukwaa la utambulisho ukasalimie
 
hajanumizwa kwani iko poa ke wa matumizi ndani ya afrika, kila bidhaa hutengenezwa kea ku target soko fulani.

NINGAR, mbona maandishi yako hayaeleweki, hivi huwa hamfanyi proofreading kabla ya ku-post?
 
Huyu mpuuzi na mapenzi katokea wapi tena mkuu hiyo toshiba sina uhakika kama itakuwa poa.Approved for sales in africa napata mashaka kidogo
 
Nionavyo mimi,mtu ananunua computer kufuatana na uwezo wake-kifedha au matumizi. Humu kuna tofauti kubwa sana ya uwezo miongoni mwetu. Actually,watu kama Chief mkwawa,e2themiza,Mzizi mkavu,.... na wengine wengi wanapowenda kununua computer wao kuna vitu wanaconsider ambavyo wengi wetu pengine hatuvijui faida yake ktk matumizi yetu ya kila siku.

Kwa hiyo naamini huyo jamaa hadi anafikia hatua ya kuchukuwa pc hiyo,hizo factors mbili zimeplay part;kwamba aidha hakuwa vizuri kifedha kuweza kuchukuwa brand ya hali ya juu,au yeye kwake computer ni computer tu. So,kama tutalitazama jambo hili kwa mtazamo huo,obviously jamaa hajaibiwa,unless awe amebambikwa bei.
 
Specification zake ziko hivi proc 2.5ghz icore3,Ram 4gb Hdd 500 bei anasema kauziwa 680000.Hapo utasema alikuwa Hana hela
 
Specification zake ziko hivi proc 2.5ghz icore3,Ram 4gb Hdd 500 bei anasema kauziwa 680000.Hapo utasema alikuwa Hana hela

Anyway,siwezi kujua kama kuna tatizo lingine,ila kwa hizo spcification jamaa ana pc nzuri kiukweli.
 
Specification zake ziko hivi proc 2.5ghz icore3,Ram 4gb Hdd 500 bei anasema kauziwa 680000.Hapo utasema alikuwa Hana hela
kwa specifications hizo na bei hiyo mashine iko poa, kinacho baki ni kuangalia imetumika kiasi gani, na iko katika hali nzuri??

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…