Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,391
- 10,885
Moja ya vitu vilivyofanya watu wamchukie mkwere ni kuwepo wapigaji wa dili mbalimbali ambao waliiweka serikali mfukoni.
Wajanja wachache walikula Neema ya nchi wakati watanzania wengi wakitopea kwenye ukapuku.
Watumishi ngazi za chini walidharaulika mpaka ikafika mahali ilikuwa ni aibu MTU kujiita umeajiriwa sehemu fulani.
Je, kwenye huu utawala wa Magufuli kuna watu wanaendelea kupiga dili kama za Escrow and the likes?
Je Magufuli wapi aendelee kukaza na wapi arekebishe?
Je ni kweli watu wamemmiss mkwere?