Je, Kuna mtu humu ashadabiwa na M. PAWA?

Je, Kuna mtu humu ashadabiwa na M. PAWA?

Rev2017

Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
46
Reaction score
22
Zimebaki Siku 13 kwenye Promo ya Jiongeze na M-Pawa. Dabo Salio Kila Siku, Milioni 20 Kila Wiki, na Millioni 100 Mwezi oktoba. Weka Akiba zaidi ushinde Fedha3
[emoji101]
 
Zawadi nyingi za kwenye promoshen hutolewa kwa kujuana na kwa upendeleo.. We subiri tu.
 
Ni wizi tu,tcra wakishapewa mpunga wao wanahalalisha tu haya mambo yaendelee.
 
Back
Top Bottom