Mbwa kama inakukimbiza haitakiwi ukimbie
Na hata jua liwake vipi haitakiwi uvue koti
Huruhusiwi ukiombwa pesa useme sina wewe toa tu kilichopo katika mfuko wako
kushabikia chadema
Huruhusiwi ukiombwa pesa useme sina wewe toa tu kilichopo katika mfuko wako
Ah ha ha ha ha mkuu usiwatishe wenzio sana basi