Augustino Fanuel Massongo
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 1,278
- 666
Mkuu rekebisha sentensi yako mwishoni mwa ufafanuzi wako, Polisi sio kikosi ni jeshi "POLICE FORCE" ila ktk mfumo wake ndio kuna vikosi kv.Hakuna jeshi la uhamiaji, ile ni idara ya uhamiaji.
Kwanza nchi hii tuna jeshi moja tu JWTZ hivyo vingine ni vikosi tu.
Elewa tu kwamba Jeshi ni moja tu JWTZ, tena hao Police inatakiwa iitwe Tanzania Police service TPS.Mkuu rekebisha sentensi yako mwishoni mwa ufafanuzi wako, Polisi sio kikosi ni jeshi "POLICE FORCE" ila ktk mfumo wake ndio kuna vikosi kv.
1.Field Force Unit (FFU)
2.Criminal Investigation Department (CID).
3.Fraud Unit.
4.Identification Bureau (IB)
5.Traffic nk, hivi ndio baadhi ya vikosi au Units ndani ya Police force au JESHI LA POLISI (kiswahili)
Mkuu wa jeshi la magereza kamishna jenerali Dr. Juma MalewaHabari.
Nilitaka kujua maana sijawahi waona wala kusikia hawa 'wasomi' ktk nyanja ya jeshi eidha jwtz au polisi au jeshi lolote!
Jitahid kusoma katib ya nchi ndy utajua majeshi n mangapi nchini, usilete mambo yako ati kisa Ghana, s/Africa Police wanaita 'police service' ati na Tz tuite ivyoo hapana tunaongozwa na katiba ya nchi inayo lindwa na Jeshi {Jw}.Elewa tu kwamba Jeshi ni moja tu JWTZ, tena hao Police inatakiwa iitwe Tanzania Police service TPS.
majeshi yote yanao, we unawatakia nini?Habari.
Nilitaka kujua maana sijawahi waona wala kusikia hawa 'wasomi' ktk nyanja ya jeshi eidha jwtz au polisi au jeshi lolote!
yaani u limit uwepo wao kwa kuogopa kuwalipa? hiyo ni phylosophy Ya wapi? hujui kuwa Prof anazalisha na kujilipa mwenyewe?Wapo ila wachache kuwalipa inahitaji uwe nao wachache uweze kuafford mshahara yao
Nadhani unajipinga mwenyewe, soma para ya mwisho ulichokiandika wewe mwenyewe.Jitahid kusoma katib ya nchi ndy utajua majeshi n mangapi nchini, usilete mambo yako ati kisa Ghana, s/Africa Police wanaita 'police service' ati na Tz tuite ivyoo hapana tunaongozwa na katiba ya nchi inayo lindwa na Jeshi {Jw}.
Zamani walikwenda vyuo vyao vya kijeshi. Egypt,Israel, UK, Canada,USA, Cuba, India. USSR,.
Enzi ya Kambarage.
Nina wasi wasi na elimu yako.Nadhani unajipinga mwenyewe, soma para ya mwisho ulichokiandika wewe mwenyewe.
Mkuu huyo ni daktari anaitwa jenerali kamishna dk jumaKumbe udaktari huu, mi namaanisha Doctor of Philosophy(PhD) na maprofesa!
Madokta hawa wa medicine Lugalo pia wapo kibao!
Inaonekana wewe hujamsikiliza muhishimiwa Rais msomi ni mtu gani.Nina wasi wasi na elimu yako.
Hiyo TPS unayosema inatakiwa iitwe na nani? Mfumo ulioko sasa ambao ndio rasmi kikanuni tumeurithi toka ktk Imperial system tangu Uhuru toka kwa Waigereza tulicho badilisha sisi ni jina na kiasi fulani muundo wa uendeshaji toka Tanganyika Police iliyokuwa na Influence ya ukoloni wa British empire na sasa tuna Police force kama jeshi la dola lenye jukumu kamili la kusimamia usalama wa ndani ya nchi na huu ndio mfumo rasmi wa uendeshaji wa majeshi ya Polisi karibu ktk nchi zote za commonwealth.Elewa tu kwamba Jeshi ni moja tu JWTZ, tena hao Police inatakiwa iitwe Tanzania Police service TPS.
Mkuu nchi ni kweli nchi zingine hizo ni idara. Lakini kwa TZ hayo ni majeshi. Kila nchi na taratibu zakeHakuna jeshi la uhamiaji, ile ni idara ya uhamiaji.
Kwanza nchi hii tuna jeshi moja tu JWTZ hivyo vingine ni vikosi tu.
Pia usahihishe kasoma udaktari Glasgow -Uskochi sio UrusiSawa na nashukuru kwa masahihisho yako ' Kuntu ' kabisa Mkuu.
Katika nchi zenye elimu bora huwezi kuitaja India kaka!.Wapo wengi tu nasikia wapo watuu wamesoma masters mpaka India wqpo kule